Haya yanaweza kuwa ndo mojawapo katika maajabu ya dunia!...Kama ni kweli itakuwa ni katika mambo ambayo nitajivunia kuyaona katika maisha yangu..Nimeitazama ile CD, ni kweli ina mazingira ya kidini ya kiislamu sana, lakini mi nilitegemea jamii ya kiislamu wangeiona kama changamoto yao nzuri saana juu ya kufuata maadili mema...kumbe "meti onyo"..huh!