Msikiti wa magomeni na CD ya DIVORCE

Msikiti wa magomeni na CD ya DIVORCE

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Posts
33,643
Reaction score
36,090
Kuna tetesi kuwa ile filamu ya DIVORCE ya RAY NA WENGINE imeleta mtafaruku pale msikiti wa magomeni (opposite na travetine hotel)......... kuna ukweli wowote...???? Na vile vile kuwa waislamu walitaka ipigwe marufuku........???
 
Haya yanaweza kuwa ndo mojawapo katika maajabu ya dunia!...Kama ni kweli itakuwa ni katika mambo ambayo nitajivunia kuyaona katika maisha yangu..Nimeitazama ile CD, ni kweli ina mazingira ya kidini ya kiislamu sana, lakini mi nilitegemea jamii ya kiislamu wangeiona kama changamoto yao nzuri saana juu ya kufuata maadili mema...kumbe "meti onyo"..huh!
 
Back
Top Bottom