Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

Mbona wanasema Mohamed Salah alikuwa hajui kusoma wala kuandika. Vipi aliweza kiwasomea majini hiyo Quran? Au baadae alijifunza kusoma au ni muujiza?
 
Kuhusu kuasi Mbinguni Majini yenyewe yanaeleza katika Qurani:

72:8 - Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo

72:9 - Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!


"Kwanza tulikuwa tukikaa Mbinguni:
Lakini kwa sasa tukitaka kuchungulia ili kusikiliza kinachoendelea tunafukuzwa kwa kupigwa na vimondo"

Je ni kwanini sasa wapigwe na vimondo wakati haikuwa hivyo hapo zamani?

Sasa hamwelewi nini hapo?
Au ndio kujitoa ufahamu ?

Poleni sana
 
Dhana au mkanganyiko wa kwamba Makka inalindwa au inahusiana na majini mara nyingi unatokana na uwepo wa Masjid al-Jinn (Msikiti wa Majini) uliopo mjini Makka.

Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn ] Umepewa jina hilo kwa sababu ni eneo ambalo kundi la majini lilimskiliza Mtume Muhammad akisoma Qur'ani, kisha yakasilimu na kuamini. Tukio hili limetajwa kwenye Qur'ani katika Surah Al-Jinn.

Majini yalikubali injili ya mtume na kuokoka kuwa waislamu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…