Narudia tena uwezo wake ni mdogo katka mahojiano unauliza maswali yaleyale na kuelewa pia shdaUnazunguka sana ,kwahiyo Kuna mapepo(majini) mema?
Ndio au hapana?
Nikijibu nn?🤣🤣🤣🤣Jibu kama huwez kaa kimya
Ivi inakuwaje wabusu jiwe wanadai koran yote ni maneno ya Allah? Uku majini yanatamba kwenye hiyo surahSurah maalumu ya majini ni surah 72 kwenye Quran
Ivi inakuwaje wabusu jiwe wanadai koran yote ni maneno ya Allah? Uku majini yanatamba kwenye hiyoSurah maalumu ya majini ni surah 72 kwenye Quran
Napendelea uendelee kutumia jina hilo ili kudhihirisha kuwa Mungu alikutoa kule kwenye dini ya Majini..La kale maana huko ndio Kuna mashujaa wengi,
Daudi, Eliya,Elisha,Daniel , Ezekiel,Yeremia,n.k
Unaweza kufafanua hili mkuu?Bila majini sidhan kama ningekuwa na uwezo wa kifedha nilionao leo