Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Mkuu mbona unalazimisha nikubali jambo ambalo halipo?Hizo sio tafsiri zangu binafsi,
Kwamba hujaona nimekupa tafsiri za mitume kama Petro na Yuda nduguye Yesu ?
Shida unabagua maandiko unasema hutaki agano jipya
Hata hilo agano la kale ,Bado maswali ukiulizwa hujibu ,unasema nikawaulize Jews
Sasa hapa najadili na ww au Jews?
Tafsiri yatoka kale kabla ya kuja YESU ndo hizo huyo nduguye YESU aliandika hayo kipindi YESU yupo? Na je YESU mwenyw ashawahi sema hayo popote?
Kama kuna sehemu kasema basi agano la kale linapingana na jipya?
Halaf mwisho maandiko yote ya kale yanatafsiri zake tayari kabla hata YESU hajaja duniani kwahyo ww kuja na tafsiri zako binafsi au za Karne ya 15 baada ya YESU hilo ni tatizo lako sio langu
HOJA kuwa mm najifanya Jew ni dalili ya kutapatapa, maana hayo maandiko yalikuwepo kabla ya ukristo na tafsiri yake ipo kabla ya ukristo pia