Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

Mfalme wa tiro alikuwa kerubi afurikaye?

Maana ya kerubi waijua?
Mm sna hoja ya kukujibu mm naamini Kwenye tafsiri za wenye maandiko yao Kabla hata ya Yesu na tafsiri zao, hayo ya kuniuliza kerubi ni kujichosha tu mkuu.

Mm sna ujuzi WA kutafsiri andiko lolote lile labda ww mwenzang kama unaweza kazi hiyo
 
Mm sna hoja ya kukujibu mm naamini Kwenye tafsiri za wenye maandiko yao Kabla hata ya Yesu na tafsiri zao, hayo ya kuniuliza kerubi ni kujichosha tu mkuu.

Mm sna ujuzi WA kutafsiri andiko lolote lile labda ww mwenzang kama unaweza kazi hiyo
Hata Mimi kujibizana na mtu anayeabudu na majini,

Muda huo haupo.
 
Hata Mimi kujibizana na mtu anayeabudu na majini,

Muda huo haupo.
Sawa mkuu uzuri ni kwamba hauna hoja, mm sibishani napenda facts ndo maana nikishindwa jambo nakubali nimeshindwa.

Sjawah tetea uongo wala kulazmisha mtu aamini kitu Kwa kutumia upotashaji kamwe sipo hvo

Kwaher
 
Waislamu na majini ni damu damu:
Uislamu ni Dini ya Majini

Na yalimchagua Muhamadi ili aitangaze dini yao kwa wanadamu
Siku yalipo mkaba kule Pangoni ndio maana hayakujitambulisha

Kumbuka majini yalikuwepo kabla ya binadamu:

Baadae yakajifanya yameisikia Qurani na kusilimu:
Kwani kabla ya Muhamadi yalikuwa dini gani ?
Na yaliumbwa ili kumwabudu Mungu:
Majini ndio waislamu wa kwanza kabla ya watu kuumbwa

Ndio maana mwislamu kamili anayapenda sana majini:
Mpaka yanajengewa Misikiti:

Shehe anaona fahari sana kusalimiana na jini:
 
Wewe ujinga umepiga nanga kichwani hakuna namna ya kukuokoa.
Unapoteza muda wako wote kuuandika huu ukoko wa uzushi badala ya kutumua muda huu kufuta huo ujinga sugu. Badilika
Ww ni mfuga majini?
 
Haya yanamuhusu mfalme Tiro sio malaika hiyo tafsiri ya malaika umeitoa wapi?
Lini mfalme wa Tiro alikuwa edeni ?

Lini alikuwa na madini 10 ya thaman mwilini mwake?

Hiyo ni lugha ya metaphor kama ya isaya 14 ,anayetajwa hapo ni Lucifer
 
Mkuu mm sijawah tumia Quran kama reference kwenye mjadala wowote na yeyote hvyo napambana naww ukouko kwenye maandiko unayoyaamini na ukipotosha nasema.

Mm kutumia agano la kale sijui kujifanya Jew haimaanisha ww ndo udanganye tafsiri za maandiko Kwa tafsiri zako binafsi ziszotambulika popote pale Kwa wayahud wenye kitabu chao Karne nyingi kabla ya ukristo
Hizo sio tafsiri zangu binafsi,

Kwamba hujaona nimekupa tafsiri za mitume kama Petro na Yuda nduguye Yesu ?

Shida unabagua maandiko unasema hutaki agano jipya

Hata hilo agano la kale ,Bado maswali ukiulizwa hujibu ,unasema nikawaulize Jews

Sasa hapa najadili na ww au Jews?
 
Kwa hiyo Mohammad alikuwa akisomea majini Quran ila akimaliza hapo anakuwa hawezi tena kusoma!? Hebu waungwana rekebisheni hii ngano, imekaa kipumbavu mno
Quran ndio inasema hivo ,
 
Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah.

Mzee wangu alienda mwaka Jana kufanya hijja , nilimuuliza akasema huo MSIKITI ni kweli una matukio na VITUKO vya majini , kila siku Namuombea Mzee wangu kabla hajalala mauti atoke huko .
View attachment 3465077Nimeona Leo niwajuze kuhusu huu MSIKITI ambao unaitwa Masjid Al jinn, Ingawa si miongoni mwa misikiti mikubwa, ila unatambulika sana kwa sababu ya tukio la kihistoria lililotokea hapo, ambapo Muhammad alikutana na kundi la majini waliomsikiliza akisoma Qur’ani, kisha wakaamini akawasilimisha.
Tukio hili limeelezwa ndani ya Qur’ani, katika Sura ya Al-Jinn (72).
View attachment 3465064

Qur’ani inasema wazi kuhusu majini walimsikiliza Muhammad wakaikubali Quran na kundi hilo la majini likasilimu.

(Qur’ani 46:29).

Hadith pia zinasimulia kuwa Mtume alisoma Qur’ani na majini wakakubali Uislamu.

Tukio hili ndilo lililoufanya msikiti huu kuwa maarufu sana,

Msikiti huu ulijulikana tangu karne ya 7 kutokana na tukio hilo la muhamad kuyasilimisha majini, lakini ujenzi wake rasmi ulifanywa karne nyingi baadaye chini ya utawala wa Waislamu wa Hijaz.

Baadaye Serikali ya Saudi Arabia iliuendeleza ili kuhifadhi kumbukumbu hii ya kihistoria.


📌 Kwa nini Unaitwa Msikiti wa Majini?

Unaitwa hivyo kwa sababu ya tukio la kihistoria ambapo majini walimsikiliza Muhammad akihutubu na kusoma Qur’ani usiku.

Baada ya kuisikia, waliamini na wakaahidi kuwaonya majini wenzao.

Tukio hili liliweka wazi kwamba Qur’ani si kwa waislamu pekee bali pia ni ujumbe kwa majini yaliyofukuzwa mbinguni .

📌 Visa vya Watu Wanaoingia Msikitini

Kuna simulizi nyingi kutoka kwa mahujaji na wageni

Wengi wanasema walisikia sauti za Qur’ani bila kuona mtu.

Wengine walihisi kama wako katikati ya kundi kubwa la watu, kumbe msikiti uko mtupu.

Wengine waliona mwanga wa ajabu usiku, kana kwamba ibada inaendelea.
View attachment 3465066


📌 Visa vya Sheikh Hashim Rusaganya

Sheikh Hashim Rusaganya, miongoni mwa masheikh maarufu Tanzania, aliwahi kusimulia visa kadhaa kuhusu Msikiti wa Majini:

Kisa cha Kijana Hujaji
Kuna kijana aliyekwenda kuswali Msikiti wa Majini usiku baada ya kutoka Haram. Alipoingia, alihisi kama msikiti umejaa watu wakiswali pamoja naye. Alisikia sauti nzuri za Qur’ani zikisomwa kwa Sauti ya madaha, Lakini baada ya kuswali na kugeuka nyuma, aliona kuwa yuko peke yake msikitini.
View attachment 3465067

Kisa cha Mahujaji Wawili
Mahujaji wawili vijana kutoka Afrika waliingia msikitini usiku. Walihisi kama msikiti umejaa, na waliposwali, waliposoma Qur’ani wakasikia yakijibu “Amin.” Walipomaliza swala na kugeuka nyuma, waligundua kuwa walikuwa peke yao.
View attachment 3465069

Kisa cha Mwanamke Hujaji
Mwanamke mmoja alipotea njiani usiku karibu na msikiti. Alionekana kuongozwa na mwanamke mwenzake hadi karibu na mlango wa msikiti. Alipogeuka kumshukuru hakuwepo tena.

Sheikh Rusaganya alifundisha kwamba alikuwa ni jini kwa ruhusa ya Allah.

Kisa cha Sauti ya Qur’ani
Mtu mmoja aliyelala karibu na msikiti alisikiliza Qur’ani ikisomwa kwa sauti kubwa kana kwamba msikiti umejaa. Lakini alipoamka na kuangalia, aliona kimya kabisa. Sheikh alisema, “Haya ndiyo mambo yanayothibitisha kuwa Msikiti huu bado unatumiwa na majini hadi leo.”
View attachment 3465075


📌 Visa Vingine vya Masheikh wa Tanzania

1. Sheikh Yahya Hussein (Dar es Salaam)
Aliwahi kueleza kuwa Msikiti wa Majini ni ushuhuda wa kwamba ibada haikuwekewa mipaka kwa binadamu pekee. Aliwahi kutaja simulizi za mahujaji waliopata “msaidizi wa ghafla” karibu na msikiti – mtu asiyejulikana aliwaongoza njia au kuwasomea du‘a, kisha akatoweka.


2. Sheikh Othman Maalim (Tanga)
Alisimulia kuwa mahujaji kutoka Tanzania walimwambia walipoingia kuswali Msikiti wa Majini, walihisi kama wameswali kwa “umati mkubwa” hata kama walikuwa wachache.


3. Sheikh Salum Barahiyan (Zanzibar)
Katika mawaidha yake kuhusu masuala ya majini, alitaja Msikiti wa Majini kama alama ya ushahidi wa Qur’ani kuwa majini wapo. Alisema simulizi za watu kusikia sauti za Qur’ani ndani ya msikiti huo si jambo la ajabu, kwa kuwa Qur’ani inasema wazi kuwa majini waliisikia na kuamini.


View attachment 3465076

Swali linakuja ,Kwanini Majini yaliposikia Quran yakaikubali na yakasilimu na kuwa waislamu?

Nimewahi kukutana na Binti mmoja ambaye ni dada wa kazi wa jirani yangu, siku moja wakampeleka kanisani kama mgeni tu ,siunajua wengi Huwa wanawapeleka kanisani wadada wa Kazi,

Mziki ulianza aliporudi ,bint akapagawa na hilo Jini ,lilikuwa linadai halitaki kabisa lipelekwe huko kanisani Tena ,Bali linataka kwenda msikitini tu, yule bint alikuwa anaitwa mariamu, katika kulihoji Jini lililo ndani yake likawa linasema linaitwa Rahma ,

Nikashauri TUFANYE maombi ,bahati mbaya yule dada ambaye ndiye bosi wake ,akaharakisha kumrudisha yule Binti kwao mkoani ,

SWALI NINALOJIULIZA MPAKA KESHO KWANINI MAJINI YALIONA QURAN NA UISLAMU NDIO SAHIHI KWAO ?

Bado nasoma kujua rank za mapepo ,majini kwa UPANDE Wa shetani ,

Yesu aliwahi kuwaambia wanafunzi wake waliposhindwa kumtoa Pepo ,alisema kwa aina hii halitoki labda ufunge au maombi , it means kwamba Kuna Pepo au Jini unalifukuza kwa kukemea tu, ila Kuna aina (kinds) inahitaji njia zaidi, ...ukisoma Mathayo 17:21

Matthew 17:21 KJV
[21] Howbeit this kind goeth not out but by prayer and fasting.
Mkuu unatema nondo sana.

Ila majini na kobaz ni kama chupi na Tako.
 
Na haya ni baadhi ya majina ya majini, jini makhata, jini maimuna, jini subhiani. Kuna wale wavaa ninja unakuta wanatembea barabarani/njiani ukiwatamkia jina la Yesu usishangae kuachiwa njia upite kwani watapotea kwa spidi ya mwanga
 
Back
Top Bottom