Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻Biblia haijatumia neno majini moja kwa moja (kama Qur’an inavyosema), ila inazungumzia malaika walioasi.
Hao ndio Biblia inawaita mapepo (demons, evil spirits).
Mfano👇👇👇
Ufunuo 12:7–9 “Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka. Naye joka akapigana nao pamoja na malaika zake; nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa, yule nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, malaika zake wakatupwa pamoja naye.”
Hapa tunaona kuwa malaika waliomuasi Mungu walitupwa duniani, wakawa pepo wabaya.
Much respect hamiss77, kama hauna jina la kikristo uniambie nikutafutie zuri mkuu