Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

Agano la kale linasemaje?
Kabla sijaenda huko, umeelewa hayo maandiko ?

Maana biblia ni agano jipya na kale

Agano la kale

Isaya 14
13 Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.

14 Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.

15 Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo.

16 Wao wakuonao watakukazia macho, Watakuangalia sana, wakisema, Je! Huyu ndiye aliyeitetemesha dunia, Huyu ndiye aliyetikisa falme;

17 Aliyeufanya ulimwengu ukiwa, akaipindua miji yake; Asiyewafungua wafungwa wake waende kwao?
 
Kwahiyo hili andiko ndo linasema malaika kaasi, embu fafanua
 
La kale maana huko ndio Kuna mashujaa wengi,

Daudi, Eliya,Elisha,Daniel , Ezekiel,Yeremia,n.k
Nitakupa matano naomba uchague mojaa baada ya kufanya utafiti.

✝️JONATHAN
✝️REUBEN
✝️GIDEON
✝️NATHAN
✝️MICAH.

KARIBU
 
Naam!. elimu ya kujua faith status ya majini ni elimu ambayo Wakiristu hawajapewa.
Na kwa sababu elimu yao ni ndogo katika jambo hili basi wao wanapinga revelation.

Ili kuwapa elimu Wakiristu, ktk hili jambo ni kuwa Wapo Majini wanaomuabudu na kumtii Mwenyezi Mungu na wapo majini waovu wanaomuasi Mwenyezi Mungu, hao ndo huwa tunawaita Mashetani.
 
Nitakupa matano naomba uchague mojaa baada ya kufanya utafiti.

✝️JONATHAAN
✝️REUBEN
✝️GIDEON
✝️NATHAN
✝️MICAH.

KARIBU
Nathan nabii au Micah natafakari mojawapo kati ya hayo
 
Naam!. elimu ya kuyajua majini ni elimu ambayo Wakiristu hawajapewa.
Na kwa sababu elimu ndogo ni tatizo basi wao wanapinga revelation.
Hatujapewa kivipi ? Kwamba Mungu alisubiri Hadi karne ya 7 ndio akaleta elimu ya majini ?

Majini ni mapepo wachafu Mzee, kama umewahi kumuombea mwenye mapepo na majini utanielewa

Majini ni aina tu ya mapepo
 
Ndugu zangu wakristo hakuna andiko katika agano la kale linalosema kuna malaika kaasi Kawa shetani, malaika ni viumbe watakatifu na watiifu kwa Mungu hawatakuja kuasi kamwe.

Kama Kuna mwenye andiko hilo alete hapa tujadili mambo ya kudanganya yamepitwa na wakati
 
Ngoja nikuchanganye akili tu:Uisilamu ulikuwepo tangu enzi za Nabii Abraham ila uisilamu ulianzishwa karne ya saba.
 
Ndugu zangu wakristo hakuna andiko katika agano la kale linalosema kuna malaika kaasi Kawa shetani, malaika ni viumbe watakatifu na watiifu kwa Mungu hawatakuja kuasi kamwe.

Kama Kuna mwenye andiko hilo alete hapa tujadili mambo ya kudanganya yamepitwa na wakati
Nimekupa Isaya 14:13-

Nimekupa ya agano jipya pia

Au ndugu yangu unadhani biblia inasomwa robo robo ?
 
Hatujapewa kivipi ? Kwamba Mungu alisubiri Hadi karne ya 7 ndio akaleta elimu ya majini ?

Majini ni mapepo wachafu Mzee, kama umewahi kumuombea mwenye mapepo na majini utanielewa

Majini ni aina tu ya mapepo

Mungu haangalii karne ngapi zimepita ili kuleta elimu fulani. Yeye ndiye hufanya atakalo kwa muda atakao.

Elimu yako imeishia kukuaminisha kuwa kila jini ni pepo chafu basi ishia kuamini hivyo, ila sisi wengine tumepewa elimu ktk Quran tukufu kuwa wapo majini waasi na wapo wachamungu.
 
Back
Top Bottom