Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

Leta tafsiri ya hiyo isaya mbona nisimpo tu, mm nakubali zote za wayahudi na za wakristo.

Kwann jambo hili linakua gumu kwako mtumishi Hamis?
Nilete kutoka kwa nani ?

Wewe umesema wayahudi wanasema ni mfalme wa babeli ,sijakuhishia ,wayahudi wanamitazamo mingi tofauti hata zile Aya za kimasihi , kwakuwa na wewe wunakubaliana na mtazamo wao kwenye hiyo isaya 14 ,basi Nikakupa maswali kama unavyodai ,hujayajibu

Labda niyarudie kwakuwa unasema ni mfalme wa babeli ,maswali ni haya

Lini Mfalme wa Babeli “alikuwa juu” kama andiko linavyosema, na ni wapi maandiko yanathibitisha kwamba alianguka mbinguni?

Je, Mfalme wa Babeli anaweza kweli “kupanda mbinguni” au kuishi katika kiti cha enzi cha mbinguni, au hili ni maneno ya kifalme/kishairi?

Andiko linaposema “nyota ya asubuhi, mwana wa alfajiri”, je, hili ni jina la kifalme la kibinadamu au jina la kiumbe wa kiroho?

Ni kwa nini maandiko yanatumia maneno ya kifalme kama kupanda, kushuka, kiti cha enzi, ambayo kwa ufahamu wa kifalme ni metaphor, si literal?
 
Mm hata sijui , kwann kuna sehemu nimesema shetani alikua kiumbe Fulani?

Na ndio nimekuuliza.
Shetan alikuwa nani?.

Anzia hapa
Quran 2:34
"Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri."

Na hapa alivyokataa.
Jina malaika likabadilishwa na kuwa jini

Qutan 18:50
"Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye kudhulumu."

Sasa watu wakisema Majini ni malaika walioasi.
Unakataaje?.

Mfano wa Quran tukufu huu. Ambao ww bila shaka utauelewa kiwepesi kabisa.
 
Haya maswali yako ungepeleka kwa wayahudi sio mm, maana sina kipawa hicho cha kupingana na tafsiri zao toka Karne ya 15K.K huko mm nani nianze kuleta tafsiri zangu?

Au ww mwenzagu una elimu kubwa unaweza tafsiri upya siwez jua
 
Mkuu nishakuambia sijui
 
Mkuu nishakuambia sijui

Kama hujui.
Basi ndio ujue kuwa
Shetan alikuwa malaika na alivyohasi
Akaitwa jini.

Refers na hapa chini👇👇👇

Sasa ndugu yangu kweli hapa najadili na wewe au Jews ?

Maana hata Petro na Yuda Hawa mitume ni Jews ,

Nilichoona wewe unaji defend kwa msimamo wa Jews ,ila huwezi kujibu maswali Yao

Ni sawa hapa nijadili na wewe msunni Kisha nikuletee tafsiri na vitabu vya shia ,

Wayahudi Mimi nimewasoma kiasi chake maana Wokovu umetoka kwao ,nimewasoma pia Messianic Jews ambao wanakubali agano kale na jipya ,

Hawa ambao unawatumia ww kuji defend Kuna Aya nyingi za kimasihi kuhusu Yesu wanazikataa kabisa ,

Even hata isaya 53 ambayo ni dhahiri inazungumzia Yesu na mateso,kufa na kufufuka wanasema inahusu Taifa la Israel
 
Bora umempeleka huku kwenye Quran
 
Hakuna sehemu Quran inasema malaika aliasi hivohvo kwenye agano la kale pia hakuna, hiyo ndo hoja yangu kama zipo leta maandiko
 
Mkuu mm sijawah tumia Quran kama reference kwenye mjadala wowote na yeyote hvyo napambana naww ukouko kwenye maandiko unayoyaamini na ukipotosha nasema.

Mm kutumia agano la kale sijui kujifanya Jew haimaanisha ww ndo udanganye tafsiri za maandiko Kwa tafsiri zako binafsi ziszotambulika popote pale Kwa wayahud wenye kitabu chao Karne nyingi kabla ya ukristo
 
Hakuna sehemu Quran inasema malaika aliasi hivohvo kwenye agano la kale pia hakuna, hiyo ndo hoja yangu kama zipo leta maandiko

Twende taratibu.
Kwenye Quran.

Shetan alikuwa nani?.
Ukasema hujui.

Mm nimekuonyesha kuwa Shetan alikuwa malaika.
Si umeona? Au sio Quran hiyo?.

Maana ya kuasi ni kwenda kinyume na matakwa fulani.

Au unataka maandiko yaliyosema Shetan kaasi.
Haya. 👇👇

Quran 22:3
"Na miongoni mwa watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, na wanamfuata kila shet'ani aliye asi"
 
Kwa hiyo Mohammad alikuwa akisomea majini Quran ila akimaliza hapo anakuwa hawezi tena kusoma!? Hebu waungwana rekebisheni hii ngano, imekaa kipumbavu mno
 
Biblia haijatumia neno majini moja kwa moja (kama Qur’an inavyosema), ila inazungumzia malaika walioasi.

Hao ndio Biblia inawaita mapepo (demons, evil spirits).
Mfano👇👇👇

Ufunuo 12:7–9 “Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka. Naye joka akapigana nao pamoja na malaika zake; nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa, yule nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, malaika zake wakatupwa pamoja naye.”

Hapa tunaona kuwa malaika waliomuasi Mungu walitupwa duniani, wakawa pepo wabaya.
Lakini ujue kuna tofauti kubwa kati ya jini na shetani, usichanganye madesa.
 
Inawezekana ikawa kweli, nasikia mudi alioa katoto ka umri wa miaka saba
 
Kwa hiyo Mohammad alikuwa akisomea majini Quran ila akimaliza hapo anakuwa hawezi tena kusoma!? Hebu waungwana rekebisheni hii ngano, imekaa kipumbavu mno
Unashangaa mtu kutojua kusoma Karne ya 3 wakat hapa nchini kwako Karne ya 21 wanaojua kusoma na kuandika hawafiki asilimia 60
 
Back
Top Bottom