Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 289
- 415
Tunaomba Picha tafadhari
Picha nyingine tunaomba km 8 hivipicha hiyo
Unahakika katoa yeye,au uwanjani hapo wapo panya wengi😄.Ama kampeni ya kumsagia kunguni,ili uukwae umeneja🤔Ndugu wana Jukwaa, juzi January 31 Rais Mama samia Alikua Nyamagana Mwanza kwaajili ya kugawa vizimba na mitumbwi ya kisasa kwa wavuvi zoezi ambalo lilifanyika kandokando ya ziwa victoria na baadae Mh Rais alikuja Uwanja wa Nyamagana kwaajili ya kuzungumza na wananchi waliokua wakimngojea Mh Rais baada ya kuskia ujio wake Mwanza.
Kwenye Maandalizi Uwanja wa Nyamagana ulifanyiwa ukarabati wa maana Ikiwemo Geti jipya, Vyoo vilisafishwa lakini Siku mbili tu baada ya Mh Rais kuondoka Wasimamizi wa Uwnaja wa Nyamagana chini ya Afisa michezo wa Jiji la Mwanza Mohamed Bitegeko wameondoa Koki za maji Vyooni na sasa Vyoo vimerudi kama vilivyokua,
Ukiangalia Uwanja wa Nyamagana karibia kila siku mechi zinachezwa na watu wanalipia gharama za Uwanja, na Haya Magonjwa ya mlipuko kama KIPINDUPINDU Na watu wanatakiwa kunawa mikono watanawa wapi?
Nashauri Mabadiliko ya Haraka kwa Msimamizi huyu Maaba ameufanya Uwanja wa Nyamagana kama Kitegauchumi chake lakini hawaujali hata kidogo.
BOra alivyoziondoa, amefanya jambo la busara sana maaana zingeibwa hata kabla ya hiyo mechi. Unadhan koki ya elfu 12 inaweza kuwa jamaa kaiba ili apate nini wakati tayari ana cheo cha UMeneja?Ndugu wana Jukwaa, juzi January 31 Rais Mama samia Alikua Nyamagana Mwanza kwaajili ya kugawa vizimba na mitumbwi ya kisasa kwa wavuvi zoezi ambalo lilifanyika kandokando ya ziwa victoria na baadae Mh Rais alikuja Uwanja wa Nyamagana kwaajili ya kuzungumza na wananchi waliokua wakimngojea Mh Rais baada ya kuskia ujio wake Mwanza.
Kwenye Maandalizi Uwanja wa Nyamagana ulifanyiwa ukarabati wa maana Ikiwemo Geti jipya, Vyoo vilisafishwa lakini Siku mbili tu baada ya Mh Rais kuondoka Wasimamizi wa Uwnaja wa Nyamagana chini ya Afisa michezo wa Jiji la Mwanza Mohamed Bitegeko wameondoa Koki za maji Vyooni na sasa Vyoo vimerudi kama vilivyokua,
Ukiangalia Uwanja wa Nyamagana karibia kila siku mechi zinachezwa na watu wanalipia gharama za Uwanja, na Haya Magonjwa ya mlipuko kama KIPINDUPINDU Na watu wanatakiwa kunawa mikono watanawa wapi?
Nashauri Mabadiliko ya Haraka kwa Msimamizi huyu Maaba ameufanya Uwanja wa Nyamagana kama Kitegauchumi chake lakini hawaujali hata kidogo.
Sina haja nao, ila shida ya Vyoo kunuka bila kusafishwa,sababu ya koki hazitoi maji inakeraUnahakika katoa yeye,au uwanjani hapo wapo panya wengi😄.Ama kampeni ya kumsagia kunguni,ili uukwae umeneja🤔