Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Oooh habari Tanzania !
Pole kwa majukumu Mtanzania ya hapa na pale.
Naomba kuweka wazo langu hapa jukwaani.
Nimekuwa nikiwaza kwa muda mrefu kuwa hapa Tanzania miji inakuwa kwa kasi sana na kupelekea kupata changamoto kubwa hususani kwenye Majiji yetu mfano; Msongamano mkubwa wa vyombo vya moto, Idadi kubwa ya wakazi, huduma chache na finyu za kijamii kama Hospital, Shule, Vyuo nk.
Mnaonaje Serikali mkaunda taasisi itakayokuwa mahususi hasa kuhakikisha Miji na Majiji yote Tanzania yanakuwa na miundombinu mizuri, inayofanana, huduma za kijamii sawa Jiji moja na Jiji lingine kwa uwiano sawa pasipo upendeleo kwa ustawi wa pamoja katika taifa letu.
Naomba kuleta kwenu wazo la uanzishwaji wa taasisi ya "TANZANIA CITY AUTHORITY". Hii iwe taasisi muhimu ya kupanga mji gani unastahili kuwa jiji na unapaswa upate au uwe na miundombinu na huduma zipi bora za kijamii nahisi huenda tukafanikiwa sana kukua kama Taifa na Tanzania kwa ujumla.
Karibuni.