JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Sheria ya Ndoa haiongelei mahari
"Kimila ndoa ni suala la utamaduni, kisheria ndoa haiongelei suala la mahari" Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria.
Chanzo: Jahazi (Clouds FM)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengi wana gushi Mirathi kwa sababu hata wakijulikana kua wamegushi hawachukuliwi hatua Kali, inabidi adhabu iwe Kali ili iwe fundisho kwa wengine! Kesi nyingi za Mirathi zina forgery sana na zinaendeshwa kimadai badala ya kijinai!!Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria anaeleza namna ambavyo siku hizi wasimamizi wa mirathi ambao hawapo kwenye mirathi wanavyodhulumu wahusika haki zao kisa yeye anasimamia mirathi.
Sheria ya Ndoa haiongelei mahari
"Kimila ndoa ni suala la utamaduni, kisheria ndoa haiongelei suala la mahari" Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria.
Chanzo: Jahazi (Clouds FM)