Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria anaeleza namna ambavyo siku hizi wasimamizi wa mirathi ambao hawapo kwenye mirathi wanavyodhulumu wahusika haki zao kisa yeye anasimamia mirathi.
Sheria ya Ndoa haiongelei mahari
"Kimila ndoa ni suala la utamaduni, kisheria ndoa haiongelei suala la mahari" Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria.
Chanzo: Jahazi (Clouds FM)