I Ismail Ali New Member Joined May 23, 2018 Posts 2 Reaction score 0 May 24, 2018 #1 Je msimamizi wa mirathi aki aga dunia ni utaratibu gani unafwatwa kumteua mwingine? Ahsante
Jaffary JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 807 Reaction score 385 May 24, 2018 #2 Inategemea. Kama aligawa baadhi ya Mali, na nyingine hakuzigawa basi ndugu wa marehemu anaweza kupeleka maombi mahakamani ili ateuliwe kumalizia kuzisimamia na kugawa Mali ambazo msimamizi aliyepita hakuweza kufanya hivyo
Inategemea. Kama aligawa baadhi ya Mali, na nyingine hakuzigawa basi ndugu wa marehemu anaweza kupeleka maombi mahakamani ili ateuliwe kumalizia kuzisimamia na kugawa Mali ambazo msimamizi aliyepita hakuweza kufanya hivyo
Mzee wa Faida Member Joined May 17, 2018 Posts 56 Reaction score 29 May 25, 2018 #3 Mnafanya mchakato wa kumteua mwingine