Msimamizi wa mirathi

Msimamizi wa mirathi

Ismail Ali

New Member
Joined
May 23, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Je msimamizi wa mirathi aki aga dunia ni utaratibu gani unafwatwa kumteua mwingine?
Ahsante
 
Inategemea. Kama aligawa baadhi ya Mali, na nyingine hakuzigawa basi ndugu wa marehemu anaweza kupeleka maombi mahakamani ili ateuliwe kumalizia kuzisimamia na kugawa Mali ambazo msimamizi aliyepita hakuweza kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom