Msimamizi wa ofisi anahitajika

Msimamizi wa ofisi anahitajika

infor

New Member
Joined
Sep 18, 2024
Posts
2
Reaction score
5
Anahitajika kijana mwenye ujuzi na elimu ya masuala ya biashara hususani kwenye sekta ya miamala ya benki na simu.

MAJUKUMU

-Kusimamia ofisi inayojishughulisha na masuala ya huduma za fedha (Financial services)
-Kuandaa ripoti na hesabu za ofisi
-Kubuni na kuteleza mikakati ya kuipanua na kkukuza biashara

SIFA

Elimu:
Kidato cha 4 au 6 na awe na cheti au diploma kwenye masuala ya biashara au uhasibu
Umri: Awe na miaka kuanzia 18 - 30
Jinsia: Awe wa kike au kiume
Mahali: Dar
Uzoefu: Awe mwaminifu, Ajue kutumia computer hasa program ya word na excel, awe na uzoefu usiopungua miezi 6 kwenye sekta ya masuala ya miamala ya benki na simu
Mawasiliano: Usipige simu, tuma maombi kwa njia ya WhatsApp namba 0769 022 562
Mshahara: Kianzio sh 200K/mwezi. ofisi inatoa huduma ya chakula cha mchana, malazi na makazi

Maombi, CV, Vyeti vitumwe kwenye namba hii.

Please share in groups!

Karibu sana!
 
Anahitajika kijana mwenye ujuzi na elimu ya masuala ya biashara hususani kwenye sekta ya miamala ya benki na simu.

MAJUKUMU

-Kusimamia ofisi inayojishughulisha na masuala ya huduma za fedha (Financial services)
-Kuandaa ripoti na hesabu za ofisi
-Kubuni na kuteleza mikakati ya kuipanua na kkukuza biashara

SIFA

Elimu:
Kidato cha 4 au 6 na awe na cheti au diploma kwenye masuala ya biashara au uhasibu
Umri: Awe na miaka kuanzia 18 - 30
Jinsia: Awe wa kike au kiume
Mahali: Dar
Uzoefu: Awe mwaminifu, Ajue kutumia computer hasa program ya word na excel, awe na uzoefu usiopungua miezi 6 kwenye sekta ya masuala ya miamala ya benki na simu
Mawasiliano: Usipige simu, tuma maombi kwa njia ya WhatsApp namba 0769 022 562
Mshahara: Kianzio sh 200K/mwezi. ofisi inatoa huduma ya chakula cha mchana, maradhi na makazi

Alooh Maradhi tena
 
Ofisi ipo wap
 
Back
Top Bottom