Alooh Maradhi tenaAnahitajika kijana mwenye ujuzi na elimu ya masuala ya biashara hususani kwenye sekta ya miamala ya benki na simu.
MAJUKUMU
-Kusimamia ofisi inayojishughulisha na masuala ya huduma za fedha (Financial services)
-Kuandaa ripoti na hesabu za ofisi
-Kubuni na kuteleza mikakati ya kuipanua na kkukuza biashara
SIFA
Elimu: Kidato cha 4 au 6 na awe na cheti au diploma kwenye masuala ya biashara au uhasibu
Umri: Awe na miaka kuanzia 18 - 30
Jinsia: Awe wa kike au kiume
Mahali: Dar
Uzoefu: Awe mwaminifu, Ajue kutumia computer hasa program ya word na excel, awe na uzoefu usiopungua miezi 6 kwenye sekta ya masuala ya miamala ya benki na simu
Mawasiliano: Usipige simu, tuma maombi kwa njia ya WhatsApp namba 0769 022 562
Mshahara: Kianzio sh 200K/mwezi. ofisi inatoa huduma ya chakula cha mchana, maradhi na makazi
Maombi, CV, Vyeti vitumwe kwenye namba hii.
Please share in groups!
Karibu sana!
Ofisi ipo wapAnahitajika kijana mwenye ujuzi na elimu ya masuala ya biashara hususani kwenye sekta ya miamala ya benki na simu.
MAJUKUMU
-Kusimamia ofisi inayojishughulisha na masuala ya huduma za fedha (Financial services)
-Kuandaa ripoti na hesabu za ofisi
-Kubuni na kuteleza mikakati ya kuipanua na kkukuza biashara
SIFA
Elimu: Kidato cha 4 au 6 na awe na cheti au diploma kwenye masuala ya biashara au uhasibu
Umri: Awe na miaka kuanzia 18 - 30
Jinsia: Awe wa kike au kiume
Mahali: Dar
Uzoefu: Awe mwaminifu, Ajue kutumia computer hasa program ya word na excel, awe na uzoefu usiopungua miezi 6 kwenye sekta ya masuala ya miamala ya benki na simu
Mawasiliano: Usipige simu, tuma maombi kwa njia ya WhatsApp namba 0769 022 562
Mshahara: Kianzio sh 200K/mwezi. ofisi inatoa huduma ya chakula cha mchana, maradhi na makazi
Maombi, CV, Vyeti vitumwe kwenye namba hii.
Please share in groups!
Karibu sana!
Huu uchawi sasaOfisi inatoa maradhi tena sa si atakufa mapema