Msimamizi wa shamba anatafutwa

Msimamizi wa shamba anatafutwa

HONDA XL

Senior Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
138
Reaction score
115
shamba lina kilimo na ufugaji. kilimo ni mahindi, alizeti na mpunga, mifugo ni ng'ombe na mbuzi.
makazi ni shambani hapo hapo.
shamba liko kigoma
wafanyakazi waliopo shambani kati ya 20 hadi 30.
kwa mwenye uzoefu wa usimamizi mashamba makubwa
akiwa na taaluma ya kilimo na mifugo au Agro mechanization anakaribishwa
tuwasiliane
WhatsApp 0622 76 96 60
 
Back
Top Bottom