milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
4RMsimamizi wa uchaguzi amekamatwa Kura feki 25 zilizo pigwa kabisa kwa Mgombea wa CCM, Haya Mauchafu Yanaendelea Nchi Nzima.
View attachment 3163441
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
4RMsimamizi wa uchaguzi amekamatwa Kura feki 25 zilizo pigwa kabisa kwa Mgombea wa CCM, Haya Mauchafu Yanaendelea Nchi Nzima.
View attachment 3163441
Aamua na mkwe wake wanatia aibuMsimamizi wa uchaguzi amekamatwa Kura feki 25 zilizo pigwa kabisa kwa Mgombea wa CCM, Haya Mauchafu Yanaendelea Nchi Nzima.
View attachment 3163441
Wanazuia ukweli kwa uongo... Kuuzuia haiwezekani.Msimamizi wa uchaguzi amekamatwa Kura feki 25 zilizo pigwa kabisa kwa Mgombea wa CCM, Haya Mauchafu Yanaendelea Nchi Nzima.
View attachment 3163441
Dhambi za kudhulumu bora kuliko kipato?Hawa watumishi wa umma hawawezi kataa kwasababu wanaweza futwa kazi. Nchi hii ndo basi
Mambo dhambi naamini yanaendana na imani za dini ambazo bila shaka ni kitu personal. Labda tuanze kujadili kwanini kazi ya kusimamia wamepewa watumishi wa serikali, lengo nini? Hilo weka kando kuna kipindi walimu walitaka kugoma kushinikisha nyongeza ya mshahara wakapigwa biti na serikali asiyeripoyi kazini kajifukuzisha kazi mwenyewe, we ulikna wananchi wskitoka front kuwatetea?. Msingi naojenga hapa ni sisi wananchi kwa wingi wetu kugomea haya yanayoendelea lakini kwa kusubiri miujiza ya wasimamizi watende haki haki gani?Dhambi za kudhulumu bora kuliko kipato?
Huko kuteua ni kuwanyima watu demokrasia ya kuchagua viongozi waoKuokoa raslimali fedha zinazopotea,ni vema wakawa wanateua kama mdau alivyopendekeza hapo juu.
Huko kuteua ni kuwanyima watu demokrasia ya kuchagua viongozi wao
Sasa demokrasia tunashindwa kuifuata,unadhani suluhu ninini,we unaona ni sawa hivi visa vya udanganyifu na vifo vinavyotokea?Huko kuteua ni kuwanyima watu demokrasia ya kuchagua viongozi wao
Wabaya ni top ccmMtumishi wa umma ukimkomalia unakuwa unamwonea tu.
Wabaya ni maDE, MaDC na maDAS
Huyo wa mwisho anafata maelekezo tu
Ccm hawajiamini kabisa. Ile mikutano ni geresha tu, wanasomba watu kwa malori ili ionekane wana watu. Mbona walizomewa sana tu na hizo clip hazikuonekana humu???Nilikuwa siamini ishu ya wizi wa kura, ila nimeamini sasa.
Washkaji kweli hawajiamini, mbona walikuwa wanajaza mikutano, viwanja inakuwaje wawe na wasiwasi hivi?