Msimamo kundi D clabu bingwa CAF

Kundi D limeonekena kuwa Gumu sana. Kwanza lila timu mbili zilizofika fainali za Afrika mwaka 2018.
Pia hadi sasa baada ya mechi nne kila timu bado inanafasi ya kuingia robo fainali.
Hata pointi zao baada ya mechi nne zanapisha pointi mojamoja
Al-Ahly point 7
Simba point 6
JS Saoira point 5
AS Vita point 4
Hata hao waliofika fainali mwaka wa jana hhawana uhakika bado wa kingia hatua ya robo fainali hadi sasa. Mmoja wapo anashika nafasi ya mwisho.
Hili kundi ndio kindi gumu zaidi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili kundi ni la kifo kweli tizama hata msimamo wa kundi.. Mpaka sasa kila m1 ana nafasi ya kupenya.

Simba inahitaj kufanya kazi ya ziada, wasifikirie kushinda kwenye game ya mwisho na vita, waende kujaribu kuusaka ushindi huko huko kwa soura ili wajihakikishie, kumfunga vita hapa kuna kazi yake tena ngumu hasa.

Simba damdam.

Sent using my nokia ya tochi
 
Kimahesabu Simba anaweza kabisa kungia robo fainali iwapo tu atahakikisha anashinda mchezo wake na As Vita. kwa kuangali michezo iliyobaki

Js Saoura watacheza na simba nyumbani kisha watasafiri kwenda Egypt (Angalau draw ipatikane)
Al Ahly watasafiri kwenda DRC na kisha watacheza nyumbani na Js Saoura

Maana yake ni kwamba kila timu katika kundi hili inaweza kushinda michezo yake ya nyumbani lakini inaweza kupoteza michezo ya ugenini na kwahiyo Simba wanaweza kabisa ku maintain nafasi ya pili.
 
Kundi lipo wazi yoyote anaweza fuzu hasa wanaomalizia nyumbani, kwani mashabiki ni mchezaji wa 12.
 
Mpira wa Africa sio sahihi Sana kutumia neno underdog maana sisi mpira bado ndomana haiwezekan ulaya timu ifungwe 8-0 halafu mechi ya pili itoe hata sare, au timu ipigwe 5-0 halafu mechi ya nyumbani timu iliyoshinda 5 inafungwa Tena kwakuzidiwa, Simba Kama kule wanaotumia neno underdog kwa usahihi ni timu Kama macabi Tel Aviv ya Israel iingie kundi la UEFA na

Madrid
Arsenal
Lyon
Kwenye kundi Kama Hilo macabi atafungwa mechi zote Ila kwa Africa Mambo ni tofauti ndomana unaona Simba anashinda mechi za nyumbani ingawa anafungwa ugenini

Angalia hata final zetu za klabu bingwa Africa na kombe la shirikisho mechi ya Kwanza na ya pili inavyokuaga...unakuta kila timu inashinda kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa namna ya ratiba ilivyo na msimamo ulivyo. Hatma ya kundi hili mpaka game za mwisho, kwa nn
Mechi zinazofuata Al Ahly anamfuata As Vita na Simba anakwenda kwa Js saoura. Km wenyeji watashinda makwao bado kundi litakuwa moto mpka Mechi za mwisho ambapo As Vita atakuja taifa kwa mchina na Js saoura watamaliza ugenini kwa Al Ahly. God bless Simba SC
Nimefurahi sana kwa AS Vita kufungwa. Kwa maana hiyo Saoura Mechi yao na simba itakuwa ngumu sana kama kwa Al Ahly na AS Vita. Hili kundi inawezekana mechi zinazofuata ndiyo zitaamua nani anakwenda na nani anabaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado mnakibarua kigumu sana, so msijipe moyo!


Vivaa Wydad Casablanca
 
Kundi gumu ila uzuri sasa wale mashabiki waliokuwa hawatoi heshima kwa simba sasa wameanza kutoa heshima
 
Hadi mechi za 5 points zitakua

Js saoura 8
Al Ahly 7
As Vita 7
Simba 6


Mechi za mzunguko wa 6 points zitakua
Al Ahly 10
Simba 9
Js saoura 8
As Vita 7

Sent using Jamii Forums mobile app

Mara paaap, Al Ahyl kamfunga Vital congo halafu JS Soura katoa sare na Al Ahyl kule Misri na kufanya mambo yawe hivi:

Al Ahyl 11
Js Saoura 9
Simba 9
As vital 4

hili kundi halitabiliki kwasababu sio timu zote zinaweza zikapata matokeo kwenye viwanja vyao vya nyumbani. Rejea Vital vs Saoura na Saoura vs Al Ahyl. Hili kundi la kifo timu zote nne kila mmoja wapo anaweza kutinga robo fainali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaza vizur Ila As Vita kwao hafungwi hamna hamna suluhu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Africa mpira hamna ni mbinu mbinu tuu maana haiwezekan forward iliofunga goli 8 ikashindwa kufunga hata goli 1 au beki ilioruhusu goli 8 ikashindwa kuruhusu hata goli 1 eti kisa uwanja ni wa ugenini au beki wamekaza kisa wapo nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na hili liwe fundisho kwa baadhi ya wahuni walojificha kwenye kichaka cha uchambuzi baada ya kuishi kwa kutumia ule msemo maarufu wa "mjini shule"
cc; Shaffi Dauda
Wakati mnaidadi ya goli kumi mlikuwa kimyaa,haya tutayaona maana mmesifiwa kukimbia mmepitiliza mpaka kwenu
 

Hili jambo wengi hawalijui hongera kwa uchambuzi
 


Afrika hatujafikia kuitana underdog kwakuwa timu za afrika viwango vyao vinazidiana kidogo
Shafii dauda ni mpuuzi hajui mpira analeta ushabiki
Ngoja nikupe maana ya underdog mfano UEFA wakapanga makundi ya klabu kuna psg juve barca na fenerbach hapo unaweza sema fernabech ni undergo maana nina uhakika anaweza asishinde mechi hata moja anaweza kufungwa zote au kusuluhu 2
Sasa afrika hakuna underdog kila mtu anapokuwa nyumbani anafanya vizuri
mfano kuna mechi Taifa star alifungwa sijui 6 au 7 algeria lkn walivokuja huku wao ndio waliochomoa mechi iliisha sare 2 kwa 2
Tumecheza na ivory coast ya kina drogba na Cameroon ya kina etoo wote hapa nchini kwetu hawatufungi
Lkn Brazil hapahapa nyumbani walitupiga 5 kwa nchi za ulaya na America ukisema sisi underdog nakubali lkn si Africa
Shafii dauda mpuuzi yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…