Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,109
- 8,080
Hawana jeuri hiyoWafukuzeni muda huu msichelewe
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana jeuri hiyoWafukuzeni muda huu msichelewe
Mshatimuliwa na vikeleb juuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CHADEMA ni mali ya umma!
Lazima kna watu wamechezea vibaoHatimaye TBC yatimuliwa kwenye mkutano wa Chadema Mbagala
Kwa miaka mingi sana tangu kuondolewa kwa Tido Mhando kwenye uongozi wa TBC , Channel hii imejipambanua bila kificho wala uoga wowote kama channel ya ccm , kwa kuonyesha kila kinachofanywa na ccm hata mambo ya hovyo na yasiyo na tija kwa Taifa hili , imewapuuza wapinzani katika kipindi chote hicho huku ikiwanyima hata nafasi ya kukohoa tu kwenye mic zao , Watangazaji wake wamekuwa makada halisi wa ccm wenye kusifia hata ukandamizaji , hoja zote zenye tija hazijawahi kupewa nafasi kwenye TV hii .
Kwa tabia hii TBC imepoteza kabisa watazamaji katika nchi hii baada ya wananchi kwa umoja wao kuidharau moja kwa moja , nini kimetokea leo kwa TBC kutangaza mkutano wa Chadema , Je TBC inatafuta umaarufu kupitia mgongo wa Chadema baada ya wananchi kuipuuza ?
Napinga jambo hili na sitakubali Chadema itumike kama ngazi , waendelee kuifagilia ccm sisi tutapita nyumba kwa nyumba .
Naomba kuwasilisha .
UPDATES :
Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amewatimua TBC kwenye Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Urais Mbagala Zhakhiem kwa tuhuma za hujuma
Nendeni kwenye mikutano ya ccm