Msimamo NBC Premier League 2022/2023

Msimamo NBC Premier League 2022/2023

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Ufuatao ni msimamo wa Ligi itakavyotamatika 2022/2023

1. Simba
2. Azam
2. Yanga
4. Geita gold
5. Singida Big stars
6. Namungo
7. Coastal union
8. Kagera sugar
9. Polisi Tz
10 KMC
11. Kagera
12. Mbeya city
13. Dodoma Jiji
14. Ruvu shooting
15. Tanzania Prisons
16...........

Azam na Yanga wapo nafasi ya pili kwa kuwa watalingana points na magoli.
Nasubiri Povu mie
 
Attachments

  • kitengetv-20220508-0001.jpg
    kitengetv-20220508-0001.jpg
    41.2 KB · Views: 12
Utabiri ni kitu kizuri sana ila uhalisia ni kitu kizuri zaidi, hivi kwa usajili wa Yanga unavyotisha kuna timu gani hapa bongo itaweza kupata hata goli tu langoni kwa Diarra anaedaka mishale, risasi, mabomu, makombora, na mawe.
Ni vizuri Makolo FC mkijifariji kuanzia mwanzo wa msimu ili msiumize roho na mioyo yenu huko mbele ambako mtakuja kusema "kwanza kombe lenyewe baya" hatulitaki!!
 
Ufuatao ni msimamo wa Ligi itakavyotamatika 2022/2023

1. Simba
2. Azam
2. Yanga
4. Geita gold
5. Singida Big stars
6. Namungo
7. Coastal union
8. Kagera sugar
9. Polisi Tz
10 KMC
11. Kagera
12. Mbeya city
13. Dodoma Jiji
14. Ruvu shooting
15. Tanzania Prisons
16...........

Azam na Yanga wapo nafasi ya pili kwa kuwa watalingana points na magoli.
Nasubiri Povu mie
Prisons kabaki vipi ligi kuu? Si alipigwa na Mtibwa sukari?
 
Ufuatao ni msimamo wa Ligi itakavyotamatika 2022/2023

1. Simba
2. Azam
2. Yanga
4. Geita gold
5. Singida Big stars
6. Namungo
7. Coastal union
8. Kagera sugar
9. Polisi Tz
10 KMC
11. Kagera
12. Mbeya city
13. Dodoma Jiji
14. Ruvu shooting
15. Tanzania Prisons
16...........

Azam na Yanga wapo nafasi ya pili kwa kuwa watalingana points na magoli.
Nasubiri Povu mie
Ngoja tukuquote ili usije ukaedit uzi wako
 
Ufuatao ni msimamo wa Ligi itakavyotamatika 2022/2023

1. Simba
2. Azam
2. Yanga
4. Geita gold
5. Singida Big stars
6. Namungo
7. Coastal union
8. Kagera sugar
9. Polisi Tz
10 KMC
11. Kagera
12. Mbeya city
13. Dodoma Jiji
14. Ruvu shooting
15. Tanzania Prisons
16...........

Azam na Yanga wapo nafasi ya pili kwa kuwa watalingana points na magoli.
Nasubiri Povu mie
Unasubiri povu la nini tena! Au hujiamini na huu utabiri wako? Au unaujua ukweli, halafu umechagua kuwa mnafiki.
 
Utabiri ni kitu kizuri sana ila uhalisia ni kitu kizuri zaidi, hivi kwa usajili wa Yanga unavyotisha kuna timu gani hapa bongo itaweza kupata hata goli tu langoni kwa Diarra anaedaka mishale, risasi, mabomu, makombora, na mawe.
Ni vizuri Makolo FC mkijifariji kuanzia mwanzo wa msimu ili msiumize roho na mioyo yenu huko mbele ambako mtakuja kusema "kwanza kombe lenyewe baya" hatulitaki!!
Diara huyu aliyepigwa pakiti nzima ya salama na Sopu au kuna mwingine?
 
Umekuja na hisia badala ya statistics analysis amambazo zingekubeba kwenye hoja Yako ya msingi!!. Anyway, mpira huwa ni mchezo wa wazi na sio hisia za nani anasema hivi au vile. Trh 13 August itatatupa mwanga nani atakuwa bingwa.
 
Back
Top Bottom