Prisons kabaki vipi ligi kuu? Si alipigwa na Mtibwa sukari?Ufuatao ni msimamo wa Ligi itakavyotamatika 2022/2023
1. Simba
2. Azam
2. Yanga
4. Geita gold
5. Singida Big stars
6. Namungo
7. Coastal union
8. Kagera sugar
9. Polisi Tz
10 KMC
11. Kagera
12. Mbeya city
13. Dodoma Jiji
14. Ruvu shooting
15. Tanzania Prisons
16...........
Azam na Yanga wapo nafasi ya pili kwa kuwa watalingana points na magoli.
Nasubiri Povu mie
Alicheza play off na JKT TZ, yule wa kutoka championship na aggregate ikawa 2 - 1, amesalia NBC premier league.Prisons kabaki vipi ligi kuu? si alipigwa na mtibwa sukari?
Ngoja tukuquote ili usije ukaedit uzi wakoUfuatao ni msimamo wa Ligi itakavyotamatika 2022/2023
1. Simba
2. Azam
2. Yanga
4. Geita gold
5. Singida Big stars
6. Namungo
7. Coastal union
8. Kagera sugar
9. Polisi Tz
10 KMC
11. Kagera
12. Mbeya city
13. Dodoma Jiji
14. Ruvu shooting
15. Tanzania Prisons
16...........
Azam na Yanga wapo nafasi ya pili kwa kuwa watalingana points na magoli.
Nasubiri Povu mie
Unasubiri povu la nini tena! Au hujiamini na huu utabiri wako? Au unaujua ukweli, halafu umechagua kuwa mnafiki.Ufuatao ni msimamo wa Ligi itakavyotamatika 2022/2023
1. Simba
2. Azam
2. Yanga
4. Geita gold
5. Singida Big stars
6. Namungo
7. Coastal union
8. Kagera sugar
9. Polisi Tz
10 KMC
11. Kagera
12. Mbeya city
13. Dodoma Jiji
14. Ruvu shooting
15. Tanzania Prisons
16...........
Azam na Yanga wapo nafasi ya pili kwa kuwa watalingana points na magoli.
Nasubiri Povu mie
Nakopi Hiki Ulichoandika Af Na Paste Hapa Chini Tena Na Bold Kabisa Kwa Msisitizo Zaidi.Tukubaliane kabisa kwamba Yanga haina hela imeishia kwa Aziz Ki baadae zisije lawama za bahasha
Diara huyu aliyepigwa pakiti nzima ya salama na Sopu au kuna mwingine?Utabiri ni kitu kizuri sana ila uhalisia ni kitu kizuri zaidi, hivi kwa usajili wa Yanga unavyotisha kuna timu gani hapa bongo itaweza kupata hata goli tu langoni kwa Diarra anaedaka mishale, risasi, mabomu, makombora, na mawe.
Ni vizuri Makolo FC mkijifariji kuanzia mwanzo wa msimu ili msiumize roho na mioyo yenu huko mbele ambako mtakuja kusema "kwanza kombe lenyewe baya" hatulitaki!!
Ungedadavua kidogo mkuu, ninachojua kapigwa na mtibwa huko playoffPrisons alishinda game ya play off