Msimamo NBC Premier League 2022/2023

Pole sana
 
Unazungumzia Diara yupi?
 
Wewe kweli mzugaji,Diarra huyu kwenye mechi nne zilizopita amefungwa jumla ya magoli saba,msimu huu atapasuliwa sana hiyo hirizi yake imekwisha expire.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Naomba modereta aweke table kama hii pale mbele halafu iwe inakuwa updated kadri mchezo unavyoendelea.
PositionTeamGPWDLGFGAGDPtsFormPPGlast 8CSFTS
1 Young Africans 17142133825442.62.6365%0%
2 Simba 16114136729372.32.562%6%
3 Azam 16113224159362.32.7544%6%
4 Singida Big Sta 1693418135301.9244%19%
5 Mtibwa Sugar 176652226-4241.41.1324%29%
6 Kagera Sugar 1664617170221.41.7538%25%
7 Geita Gold 165741721-4221.41.519%38%
8 Mbeya City 1648421201201.3112%19%
9 KMC 164751415-1191.20.7525%44%
10 Namungo 165471217-5191.20.6331%38%
11 Dodoma Jiji 165381220-8181.11.6325%44%
12 T. Prisons 163671217-5150.90.3825%44%
13 Coastal Union 1743101423-9150.90.3829%47%
14 Ihefu 1642101319-6140.91.1312%44%
15 Ruvu Shooting 1733111022-12120.70.2524%47%
16 Polisi Tanzania 1623111126-1590.60.512%44%
 
Hii Yanga inataka kuwa Bingwa wa Ligi kuu, kwa miaka mingapi mfululizo? Mbona inaanza kuniogopesha!!
 
Mpk sasa anaongoza kwa kuchomwa na mishale πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mpk sasa anaongoza kwa kuchomwa na mishale πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Ha ha ha
We jamaa utakufa na tai shingoni! Diarra hakuna kipa wa kumlinganisha duniani, Yanga si mchezo COASTAL UNION ni wabishi ila wamekula 3 bila majibu, Yanga ya moto sana now hata wakija Argentina na Messi wao au France na Mbappe sijui Brazil ama Morocco si tunapiga tu. Simba ndo asusa yetu for now!!
 
Hapo chini umepuyanga kwa yanga hii hii ya jezi nyeusi? Uwaite hao ulowataja? Kama alhilal iliwahenyesha sembuse hao...acha utani bwana
 
Hapo chini umepuyanga kwa yanga hii hii ya jezi nyeusi? Uwaite hao ulowataja? Kama alhilal iliwahenyesha sembuse hao...acha utani bwana
Al Hilal hawaiwezi Yanga dunia nzima inajua na wao wanajua na hata Simba wanajua!

Al Hilal wanahitaji ligi yao maana wao hawachezi soccer bali mchezo wa kujiangusha na kubebwa na machela! Ni aibu sana

Yanga hawakuruhusiwa kucheza maana jamaa walijiangusha kwa dakika 90. Huwezi kutumia Al Hilal kama kipimo cha uwezo wa Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…