TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Mbona wewe ni mhuni kwa hiyo uko Chadema?Habari Jf!
Kuna jambo binafsi naamini wanachadema wanapaswa kulitathimini sababu haiwezekani kila anaye hama chama kwenda CCM muwe mnasema wamenunuliwa.
Ebu Mbowe na wenzake wajitathmini maana tunapoelekea uchaguzi mkuu naamini chama cha Chadema kabla hata ya uchaguzi mkuu kitakuwa sio chama cha siasa tena bali ni Saccos ya vikoba.
Binafsi naona Mbowe amekuwa dikteta zaidi ya Nduli kwa kutaka kiti chake kisikaliwe na mtu mwingine hilo nalo ni kosa ,alitakiwa kukubali kubadilishana kijiti.
Sasa hivi Chadema naona kumejaa kundi la wahuni wa mtaani watu wenye waeledi wote naona wamejaa upande ule wa pili yaani CCM.
Napata mashaka sana nikikuta mtu msomi bado anang'ang'ana na Chadema hapo ndipo wakati najiuliza usomi wa mtu huyo upo wapi???
Ila kuna mtu alishawai sema kwamba Chadema ni chama cha mtu binafsi ,kwa hiyo inaendeshwa kama Vicoba Saccos pale watu wanapata msosi wao wa kila siku ila sio chama cha siasa bila imejificha kwny kivuli cha siasa.
Je ili swala wanachadema wanalizungumzia vipi???
HATA MIMI NILIPOKUWA UPANDE WA PILI, KIMBILIO LA WACHUMIA TUMBO, HAKUNA NJOZI NZURI NILIYOKUWA NAOTA KAMA KUMTOA MBOWE BARABARANI!
Kwa akili zako na ushabiki wako utaona ni sawa ccm kununua na kuvuruga wapinzani,naskia toka ameanza nunuanunua umaskini umepungua na uchumi umepandaHabari Jf!
Kuna jambo binafsi naamini wanachadema wanapaswa kulitathimini sababu haiwezekani kila anaye hama chama kwenda CCM muwe mnasema wamenunuliwa.
Ebu Mbowe na wenzake wajitathmini maana tunapoelekea uchaguzi mkuu naamini chama cha Chadema kabla hata ya uchaguzi mkuu kitakuwa sio chama cha siasa tena bali ni Saccos ya vikoba.
Binafsi naona Mbowe amekuwa dikteta zaidi ya Nduli Idd Amini Dada kwa kutaka kiti chake kisikaliwe na mtu mwingine ili kuleta watu wenye mawazo mapya ndani ya chama hilo nalo ni kosa ,alitakiwa kukubali kubadilishana kijiti.
Sasa hivi Chadema naona kumejaa kundi la wahuni wa mtaani watu wenye waeledi wote naona wamejaa upande ule wa pili yaani CCM.
Napata mashaka sana nikikuta mtu msomi bado anang'ang'ana na Chadema hapo ndipo wakati najiuliza usomi wa mtu huyo upo wapi???
Ila kuna mtu alishawai sema kwamba Chadema ni chama cha mtu binafsi ,kwa hiyo inaendeshwa kama Vicoba Saccos pale watu wanapata msosi wao wa kila siku ila sio chama cha siasa ila kimejificha kwny kivuli cha siasa.
Je ili swala wanachadema wanalizungumzia vipi???
Habari Jf!

Pumbav!Habari Jf!

KLMYK-OHabari Jf!

Umefanya kazi siku ishirini na tank bado siku tano ulipwe ujira wako unaacha kazi ili ukakae nyumbani! Haiingii akilini.Habari Jf!
Kuna jambo binafsi naamini wanachadema wanapaswa kulitathimini sababu haiwezekani kila anaye hama chama kwenda CCM muwe mnasema wamenunuliwa.
Ebu Mbowe na wenzake wajitathmini maana tunapoelekea uchaguzi mkuu naamini chama cha Chadema kabla hata ya uchaguzi mkuu kitakuwa sio chama cha siasa tena bali ni Saccos ya vikoba.
Binafsi naona Mbowe amekuwa dikteta zaidi ya Nduli Idd Amini Dada kwa kutaka kiti chake kisikaliwe na mtu mwingine ili kuleta watu wenye mawazo mapya ndani ya chama hilo nalo ni kosa ,alitakiwa kukubali kubadilishana kijiti.
Sasa hivi Chadema naona kumejaa kundi la wahuni wa mtaani watu wenye waeledi wote naona wamejaa upande ule wa pili yaani CCM.
Napata mashaka sana nikikuta mtu msomi bado anang'ang'ana na Chadema hapo ndipo wakati najiuliza usomi wa mtu huyo upo wapi???
Ila kuna mtu alishawai sema kwamba Chadema ni chama cha mtu binafsi ,kwa hiyo inaendeshwa kama Vicoba Saccos pale watu wanapata msosi wao wa kila siku ila sio chama cha siasa ila kimejificha kwny kivuli cha siasa.
Je ili swala wanachadema wanalizungumzia vipi???
Wanasemaga kwa mjomba hakuna urithi..!atakae kiti cha mbowe ni sawa na kutaka kuionja sumu je wataweza? hiyo ni mali yake
Wanalijua hilo...ila wanajifanya kama hawajui.....bila kuisema CHADEMA na Mbowe, hakuna kupata buku 7..🙂Mbowe dikteta kivipi wakati huwa anapigiwa kura na wajumbe wa Mkutano mkuu?
Hebu njooni na taarabu mpya bana, hii imechosha.
Sent using Jamii Forums mobile app