magagafu JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 1,196 Reaction score 1,309 May 3, 2019 #21 Tunataka tufike points 100+
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 May 3, 2019 Thread starter #22 magagafu said: Tunataka tufike points 100+ Click to expand... Kumbukumbu zinasemaje. Kuna timu iliwahi kufikisha?
magagafu said: Tunataka tufike points 100+ Click to expand... Kumbukumbu zinasemaje. Kuna timu iliwahi kufikisha?
magagafu JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 1,196 Reaction score 1,309 May 3, 2019 #23 OKW BOBAN SUNZU said: Kumbukumbu zinasemaje. Kuna timu iliwahi kufikisha? Click to expand... Haijawahi maana si ndio Mara ya Kwanza ligi kuchezwa mechi 38....ila kihistoria Simba Mara nyingi wanakua wakwanza kwenye kila kitu kuweka rekodi,kombe la Tusker,mtani jembe,kagame,kucheza bila kufungwa...kwaio Simba niwazee wa rekodi
OKW BOBAN SUNZU said: Kumbukumbu zinasemaje. Kuna timu iliwahi kufikisha? Click to expand... Haijawahi maana si ndio Mara ya Kwanza ligi kuchezwa mechi 38....ila kihistoria Simba Mara nyingi wanakua wakwanza kwenye kila kitu kuweka rekodi,kombe la Tusker,mtani jembe,kagame,kucheza bila kufungwa...kwaio Simba niwazee wa rekodi