Msimamo TPL: Yanga inapumuliwa kisogoni na Simba SC

Msimamo TPL: Yanga inapumuliwa kisogoni na Simba SC

Kumbukumbu zinasemaje. Kuna timu iliwahi kufikisha?
Haijawahi maana si ndio Mara ya Kwanza ligi kuchezwa mechi 38....ila kihistoria Simba Mara nyingi wanakua wakwanza kwenye kila kitu kuweka rekodi,kombe la Tusker,mtani jembe,kagame,kucheza bila kufungwa...kwaio Simba niwazee wa rekodi
 
Back
Top Bottom