PostGE2025 Msimamo wa CHADEMA kuhusu uchaguzi wa Oktoba 29,2025 na kilichojiri baada ya hapo

PostGE2025 Msimamo wa CHADEMA kuhusu uchaguzi wa Oktoba 29,2025 na kilichojiri baada ya hapo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
TAARIFA KWA UMMA​
MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU UCHAGUZI BATILI WA 29 OKTOBA 2025 NA KILICHOJILI BAADA YA HAPO

1. Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 ni Batili, na Matokeo Yote Lazima Yafutwe
Uchaguzi mzima wa Rais, Ubunge na Udiwani ni batili na hauna uhalali wowote kwa sababu ulifanyika chini ya ukiukwaji mkubwa wa sheria, haki na msingi ya demokrasia. CHADEMA inasisitiza kufutwa mara moja kwa matokeo yote ya uchaguzi, na kuvunjwa kwa kinachoitiwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa sababu tume hiyo, haina uhuru, kuanzia uteuzi wa wajumbe wa tume, muundo wa tume na majukumu yake, chombo hicho hakina tena uhalali wowote na hakiaminiki na watanzania kusimamia uchaguzi huru na wa haki.

2. Samia Suluhu Hassan ni mtawala asiye halali (Illegitimate, Self-Imposed Ruler)
Samia Suluhu Hassan hakupata ridhaa ya wananchi ambao ndiyo msingi wa mamlaka yote, na serikali yake ni haramu na dhalimu kwa sababu ni matokeo ya uchaguzi ulionajisika. Uongozi wake unategemea mabavu, ukandamizaji na uhalifu wa kisiasa. Kutokana na uchaguzi batili na mazingira ya utawala wa mabavu, Samia Suluhu Hassan hana uhalali wowote kuendelea kuongoza nchi.

3. Ukandamizaji mkubwa wa kisiasa na uhalifu wa dola kabla, wakati na baada ya tarehe 29.10.2025
Utawala wa CCM chini ya Samia ulitekeleza na kuendeleza maovu na udhalimu mkubwa dhidi ya raia, wadau Demokrasia na Haki za Binadamu kwa kufanya mambo yafuatayo:
• Kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Ndugu Tundu Antipas Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini kutokana na sababu za kisiasa;
• CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli zake halali za kisiasa kwa kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria za Nchi pamoja na kufungiwa account za Benki za Chama na kuzuiwa kutumia mali za Chama.
• Udhibiti wa uhuru wa vyombo vya habari vya ndani kwa kuchuja taarifa zinazotoka kwenda
1765451755971.jpeg


1765451776989.jpeg


1765451798383.jpeg


1765451823486.jpeg


1765451839975.jpeg
 
Hiko chama soon kitakuwa cha magaidi na kupigwa marufuku,,ukijihusisha na hicho chama basi likikupata jambo utajua mwenyewe.
 
Magaidi watekaji, wafiraji, wauaji hawatakiwi na umma wa Watanzania.
Unaongelea gizani😅😅wezi lazima mpigwe mkileta uvunjifu wa amani
 
Back
Top Bottom