Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Yanga siioni hapo. Au ndio katimu "underdog"Kama msimamo unavyojionesha hapo chini.
Hongera mabingwa wa Tanzania, keep it up.View attachment 1724941
Fungua ukurasa unaofuata utatuona tuMbona utopolo siwaoni hapo?
Ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Mada inaongelea Simba kuwa nafasi ya nne kwenye huo msimamo, wewe unaongelea utopolo! Sijui ndiyo kitu gani!Mbona utopolo siwaoni hapo?
🗣️ Rage njoo huku ujionee namna lile jina la 'mbumbumbu' ulilo waachia hawa mashabiki wa timu yako ya simba, linavyo endelea kuwatafuna!Mbona Yanga siioni hapo. Au ndio katimu "underdog"
Utopolo ni nyie malalamiko F C.Ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Mada inaongelea Simba kuwa nafasi ya nne kwenye huo msimamo, wewe unaongelea utopolo! Sijui ndiyo kitu gani!
weka baada yame zilizofuatiaKama msimamo unavyojionesha hapo chini.
Hongera mabingwa wa Tanzania, keep it up.
View attachment 1724941
Tusiojua mpira ndo mtuambie sasa tafsiri ya huu msimamo ndo nini ?
hapa sasa sawa
Hata huyo wa kwanza tunalingana naye karibu kila kitu: pointi sawa, goal difference sawa, isipokuwa yeye kafunga magoli 10 na kufungwa magoli 2, wakati sisi tumefunga magoli 9 na kufungwa goli 1.
Simba ni hatari.
Leta hoja nyingine.Tu
Probabily miaka kadhaa ijayo historia itabadilika na ufalme wa soka kuwa kusini na mashariki mwa AfrikaSimba ni hatari.
Leta hoja nyingine.View attachment 1746756Historia inaanza kubadilika taratibu, ukiangalia msimamo ulivyo Badala ya Ukanda wa Africa; kazikazini, Kati na magharibi timu zao kuwa hapo juu, Sahizi imeanza ya Africa kusini( ukanda) inafutia ya Africa mashariki then Africa kazikazini,