Msimamo wa jumla Klabu Bingwa Afrika mpaka sasa, Simba SC nafasi ya nne

Msimamo wa jumla Klabu Bingwa Afrika mpaka sasa, Simba SC nafasi ya nne

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Kama msimamo unavyojionesha hapo chini.

Hongera mabingwa wa Tanzania, keep it up.

FB_IMG_16156982501930190.jpg
 
Mbona Yanga siioni hapo. Au ndio katimu "underdog"
🗣️ Rage njoo huku ujionee namna lile jina la 'mbumbumbu' ulilo waachia hawa mashabiki wa timu yako ya simba, linavyo endelea kuwatafuna!
 
Tulifanya makosa kutokumtungua huyu mwarabu kule kwao sudan, itatugharimu, ama lile pingamizi letu kule la kuchezesha wachezaji waliofungiwa likubalike, vita na al ahly wapoteze point 3, sisi tupoteze 1.
 
Mpira unabadilika asee.
Mazembe,Al Ahly,Zamaleck awamo hata kwenye Top 5!!?
Wababe/miamba ya soka Africa mpaka sasa kwenye mechi 3 za mzunguko wanapua kwa msaada wa oksijen.
 
Simba ni hatari.

Leta hoja nyingine.Tu

Simba ni hatari.

Leta hoja nyingine.View attachment 1746756Historia inaanza kubadilika taratibu, ukiangalia msimamo ulivyo Badala ya Ukanda wa Africa; kazikazini, Kati na magharibi timu zao kuwa hapo juu, Sahizi imeanza ya Africa kusini( ukanda) inafutia ya Africa mashariki then Africa kazikazini,
Probabily miaka kadhaa ijayo historia itabadilika na ufalme wa soka kuwa kusini na mashariki mwa Afrika
 
Back
Top Bottom