Msimamo wa jumla Klabu Bingwa Afrika mpaka sasa, Simba SC nafasi ya nne

Mbona Yanga siioni hapo. Au ndio katimu "underdog"
🗣️ Rage njoo huku ujionee namna lile jina la 'mbumbumbu' ulilo waachia hawa mashabiki wa timu yako ya simba, linavyo endelea kuwatafuna!
 
Tulifanya makosa kutokumtungua huyu mwarabu kule kwao sudan, itatugharimu, ama lile pingamizi letu kule la kuchezesha wachezaji waliofungiwa likubalike, vita na al ahly wapoteze point 3, sisi tupoteze 1.
 
Mpira unabadilika asee.
Mazembe,Al Ahly,Zamaleck awamo hata kwenye Top 5!!?
Wababe/miamba ya soka Africa mpaka sasa kwenye mechi 3 za mzunguko wanapua kwa msaada wa oksijen.
 
Simba ni hatari.

Leta hoja nyingine.Tu

Probabily miaka kadhaa ijayo historia itabadilika na ufalme wa soka kuwa kusini na mashariki mwa Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…