Msimamo wa Ligi Kuu baada ya mchezo wa leo

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Msimamo Wa Ligi Kuu Baada Ya Mchezo Wa Leo

Jitambulishe Kwa Emoji Moja Hapa Ya Nafasi Ya Timu Unayoishabikia ⤵️
IMG-20241107-WA0780(1).jpg
 
Kwa vile timu nne za kwanza zote zimecheza mechi 10, basi msimamo utakuwa hivyo hadi siku ya mwisho. Mshindi atakuwa Simba, hivyo Yanga wametelemshwa kuwa wa pili. Simba inafunga mabao mengi sana wakati Yanga wanajikongoja kwa bao moja moja ama la penalty au la bahati bahati tu. Bila kubadilika Yanga imekwisha. Kadri siku zinavyokwenda Simba inaimarika wakati Yanga inadorora.
 
Ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom