Msimamo wa Ligi Kuu baada ya mchezo wa leo

Kwa vile timu nne za kwanza zote zimecheza mechi 10, basi msimamo utakuwa hivyo hadi siku ya mwisho. Mshindi atakuwa Simba, hivyo Yanga wametelemshwa kuwa wa pili. Simba inafunga mabao mengi sana wakati Yanga wanajikongoja kwa bao moja moja ama la penalty au la bahati bahati tu. Bila kubadilika Yanga imekwisha. Kadri siku zinavyokwenda Simba inaimarika wakati Yanga inadorora.
 
Ukweli mchungu
 
Mke wetu katushikia nafasi hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…