Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Waulize wachambuzi wanahangaika wakiwa wapi sio mimi?Unahangaika ukiwa wapi ?
Ungana na ManaraNiko pamoja na wachambuzi.
Naunga hoja mkonoKulingana na mawazo ya wachambuzi wengi mashuhuri, wametabiri namna msimamo utakavyokuwa msimu ujao
Wakiongozwa na Shaffih dauda. Na wengine akiwemo ally mayai tembele..
1: yanga
2:azam
3: Geita
4: singida big stars
5:Namungo
6: mbeya city
7: coastal union.
13: simba
Je msimamo wako juu ya team za ligi kuu msimu ujao ni upi?
Je unapingana na maoni haya ya wachambuzi mashuhuri?
Tupia yako.
MbumbumbuMtoe mzee manara na kikwete mliobaki wote................
Labda yanga wajitoe kwenye ligiYani geuza vyura warudishe kwny dimbwi lao mnyama anakaa juu anakunywa maji ya dimbiwini
Namba 13 atakuwa 4Kulingana na mawazo ya wachambuzi wengi mashuhuri, wametabiri namna msimamo utakavyokuwa msimu ujao
Wakiongozwa na Shaffih dauda. Na wengine akiwemo ally mayai tembele..
1: yanga
2:azam
3: Geita
4: singida big stars
5:Namungo
6: mbeya city
7: coastal union.
13: simba
Je msimamo wako juu ya team za ligi kuu msimu ujao ni upi?
Je unapingana na maoni haya ya wachambuzi mashuhuri?
Tupia yako.
Wacha mbuzi na ucha mbuzi wa kizwazwa.Kulingana na mawazo ya wachambuzi wengi mashuhuri, wametabiri namna msimamo utakavyokuwa msimu ujao
Wakiongozwa na Shaffih dauda. Na wengine akiwemo ally mayai tembele..
1: yanga
2:azam
3: Geita
4: singida big stars
5:Namungo
6: mbeya city
7: coastal union.
13: simba
Je msimamo wako juu ya team za ligi kuu msimu ujao ni upi?
Je unapingana na maoni haya ya wachambuzi mashuhuri?
Tupia yako.
Ile tuzo ya ng'ombe bado ipo?Kulingana na mawazo ya wachambuzi wengi mashuhuri, wametabiri namna msimamo utakavyokuwa msimu ujao