Msimamo wa ligi kuu NBC msimu ujao, kulingana na wachambuzi

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Kulingana na mawazo ya wachambuzi wengi mashuhuri, wametabiri namna msimamo utakavyokuwa msimu ujao
Wakiongozwa na Shaffih Dauda. Na wengine akiwemo Ally Mayai Tembele..

1: Yanga
2: Azam
3: Geita
4: Singida big stars
5: Namungo
6: Mbeya city
7: Coastal Union.

13: simba

Je msimamo wako juu ya team za ligi kuu msimu ujao ni upi?

Je unapingana na maoni haya ya wachambuzi mashuhuri?

Tupia yako.
 
Kulingana na mawazo ya wachambuzi wengi mashuhuri, wametabiri namna msimamo utakavyokuwa msimu ujao
Wakiongozwa na Shaffih dauda. Na wengine akiwemo ally mayai tembele..

1: yanga
2:azam
3: Geita
4: singida big stars
5:Namungo
6: mbeya city
7: coastal union.

Naunga hoja mkono
 
Kwisha habari yakooo, tayariii ushachizikaaa lol.
Poleeeeeeeh kwa kuteseka, level hizo tulishavuka zaman mnoo.

Byuti byuti

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtoe mzee manara na kikwete mliobaki wote................
 
🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi 🤪🤪 MSOSA KAMA MSOSA TREBLE 🤪🤪 Byuti Byuti 🏆🏆🏆
 
Kulingana na mawazo ya wachambuzi wengi mashuhuri, wametabiri namna msimamo utakavyokuwa msimu ujao
Wakiongozwa na Shaffih dauda. Na wengine akiwemo ally mayai tembele..

1: yanga
2:azam
3: Geita
4: singida big stars
5:Namungo
6: mbeya city
7: coastal union.

13: simba

Je msimamo wako juu ya team za ligi kuu msimu ujao ni upi?
Je unapingana na maoni haya ya wachambuzi mashuhuri?

Tupia yako.
Namba 13 atakuwa 4
4 mpaka 7 zitashuka nafasi moja moja.
 
IMG-20220723-WA0042.jpg
 
Kulingana na mawazo ya wachambuzi wengi mashuhuri, wametabiri namna msimamo utakavyokuwa msimu ujao
Wakiongozwa na Shaffih dauda. Na wengine akiwemo ally mayai tembele..

1: yanga
2:azam
3: Geita
4: singida big stars
5:Namungo
6: mbeya city
7: coastal union.

13: simba

Je msimamo wako juu ya team za ligi kuu msimu ujao ni upi?
Je unapingana na maoni haya ya wachambuzi mashuhuri?

Tupia yako.
Wacha mbuzi na ucha mbuzi wa kizwazwa.

Waendelee tu kucha mbua ila mrudi hapa kutoa mrejesho baada ya ligi kumalizika mwakani, tutawakumbusha.
 
Kulingana na mawazo ya wachambuzi wengi mashuhuri, wametabiri namna msimamo utakavyokuwa msimu ujao
Wakiongozwa na Shaffih dauda. Na wengine akiwemo ally mayai tembele..

1: yanga
2:azam
3: Geita
4: singida big stars
5:Namungo
6: mbeya city
7: coastal union.

13: simba

Je msimamo wako juu ya team za ligi kuu msimu ujao ni upi?
Je unapingana na maoni haya ya wachambuzi mashuhuri?

Tupia yako.
Ile tuzo ya ng'ombe bado ipo?
 
Back
Top Bottom