Kulingana na mawazo ya wachambuzi wengi mashuhuri, wametabiri namna msimamo utakavyokuwa msimu ujao
Wakiongozwa na Shaffih dauda. Na wengine akiwemo ally mayai tembele..
1: yanga
2:azam
3: Geita
4: singida big stars
5:Namungo
6: mbeya city
7: coastal union.
13: simba
Je msimamo wako juu ya team za ligi kuu msimu ujao ni upi?
Je unapingana na maoni haya ya wachambuzi mashuhuri?
Tupia yako.