Msimamo wa ligi kuu NBC msimu ujao, kulingana na wachambuzi

Msimamo wa ligi kuu NBC msimu ujao, kulingana na wachambuzi

Kulingana na mawazo ya wachambuzi wengi mashuhuri, wametabiri namna msimamo utakavyokuwa msimu ujao
Wakiongozwa na Shaffih dauda. Na wengine akiwemo ally mayai tembele..

1: yanga
2:azam
3: Geita
4: singida big stars
5:Namungo
6: mbeya city
7: coastal union.





13: simba

Je msimamo wako juu ya team za ligi kuu msimu ujao ni upi?
Je unapingana na maoni haya ya wachambuzi mashuhuri?

Tupia yako.
Huo ni uchambuzi wako usiwasingizie wachambuzi
 
Yote haya kasababisha mdogo ake mane [emoji23][emoji23][emoji23]sakho basi baba wapumzishe wapumue
 
Back
Top Bottom