Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Amkaa utajunyeaaa.....ndotooSimba watakuwa mabingwa
Azam watafuatia
Singida wa tatu
Ihefu wa nne
Tabora United wa 5
Coastal Union wa 6
Namungo wa saba
Yanga watashika nafasi ya nane
Si uandike yako kwani kakuzuia?Itunze hii uliyoiandika kishabiki badala ya uhalisia
Tangu mashindano hayo yaanze yanga haijawahi kumaliza ikiwa zaidi ya nafasi za tatu za juu yaani 1,2,3.Simba watakuwa mabingwa
Azam watafuatia
Singida wa tatu
Ihefu wa nne
Tabora United wa 5
Coastal Union wa 6
Namungo wa saba
Yanga watashika nafasi ya nane
Unaona mbali sana..uko vzuriSimba watakuwa mabingwa
Azam watafuatia
Singida wa tatu
Ihefu wa nne
Tabora United wa 5
Coastal Union wa 6
Namungo wa saba
Yanga watashika nafasi ya nane
Kwa vile nchi hii wengi hawajitambui subiri utakavyoshangiliwa au kushambuliwa wakati mwenyewe akili huna.Simba watakuwa mabingwa
Azam watafuatia
Singida wa tatu
Ihefu wa nne
Tabora United wa 5
Coastal Union wa 6
Namungo wa saba
Yanga watashika nafasi ya nane
Wewe kama siyo Popoma, basi utakuwa ni mdogo wake.Simba watakuwa mabingwa
Azam watafuatia
Singida wa tatu
Ihefu wa nne
Tabora United wa 5
Coastal Union wa 6
Namungo wa saba
Yanga watashika nafasi ya nane
Kwamba mtu akiweka uzi, haturuhusiwi kwenda tofauti naye, ili tusiwe na gubu la mke mwenza? Very low thinking ya mambumbumbu FCSi uandike yako kwani kakuzuia?
Unakua na gubu km mke mwenza
Unafanya nini nyuma yake??MLETA MADA NIPO NYUMA YAKO.
Amka usikojoe kitandani mkuuSimba watakuwa mabingwa
Azam watafuatia
Singida wa tatu
Ihefu wa nne
Tabora United wa 5
Coastal Union wa 6
Namungo wa saba
Yanga watashika nafasi ya nane