Msimamo wa Ligi msimu ujao 2023/24 uko hivi

Msimamo wa Ligi msimu ujao 2023/24 uko hivi

Simba watakuwa mabingwa
Azam watafuatia
Singida wa tatu
Ihefu wa nne
Tabora United wa 5
Coastal Union wa 6
Namungo wa saba
Yanga watashika nafasi ya nane
Tangu mashindano hayo yaanze yanga haijawahi kumaliza ikiwa zaidi ya nafasi za tatu za juu yaani 1,2,3.
 
Simba watakuwa mabingwa
Azam watafuatia
Singida wa tatu
Ihefu wa nne
Tabora United wa 5
Coastal Union wa 6
Namungo wa saba
Yanga watashika nafasi ya nane
Unaona mbali sana..uko vzuri
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kujifariji inaruhusiwa Kolokoloni kwa mbumbumbu tu huku Yanga Utopoloni hatuwazi tutashika namba ngapi kwenye ligi bali tutabeba makombe mangapi!

Mwaka huu Utopolo tunasubiri staili mpya ya kushangilia kwa Skudu! Kutetema imeisha hiyo!
 
Back
Top Bottom