Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona hizo game difference lakini mkuu,?Dah Azam anaongoza ligi
Anatisha
Hii ligi inaendeshwa kihuni yaani timu mojja imecheza mechi 20 mwingine 16
Watakuja na maviporo yao huko na mbeleko za kutosha shinda viporo vyote!...upumbavu mtupuDah Azam anaongoza ligi
Anatisha
Nimeziona tunawapa moyoUmeona hizo game difference lakini mkuu,?
Cha msingi Azam ashinde game zakeWatakuja na maviporo yao huko na mbeleko za kutosha shinda viporo vyote!...upumbavu mtupu
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Daah utofauti wa Mechi ukiwa mkubwa kama hivi wahuni wanapanga matokeo Timu moja ina mechi 20 ingine 16 hata kama wapo kwenye makombe ya CAF utofauti ni mkubwa sana bora hiyo ya mechi 20 ingesubiri kwanza..
Logistics za mpira wa Afrika kwa ngazi za vilabu sio rahisi kama mnavyofikiria, ni kweli kuna viporo vya uzembe mfano mapumziko mafupi kuelekea mechi za kimataifa kumekuwa na ujinga wa kusimamisha michezo ya Yanga na Simba bila ssb za msingi weekend ya mwisho ili wachezaji wajiunge na timu ya taifa rejea mwezi wa 12 mwaka jana.Bodi ya ligi waache kuzidekeza timu za kariako asee!! Haiwezekani timu ziwe na viporo 4 na bado timu zingine zinaendelea kucheza... Yanga, Simba wamalize viporo vyao kabla ya kuanza robo fainal ya CAF. Hii ni hatari Kuna upangaji wa matokeo huko mbeleni.