Msimamo wa Makundi Simba na Yanga

Msimamo wa Makundi Simba na Yanga

GK3087

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2018
Posts
249
Reaction score
258
Nianze kwa kuwapa pole mashabiki wote wa timu za Kariakoo. Kiufupi kwa jinsi msimamo wa makundi ulivyo kwa wote Simba na Yanga, niwambie tu muda wa kuchekana bado.

Muhimu: Yanga asipoingia robo fainali mwaka huu wa kulaumiwa ni kamati yao ya ufundi " Nje ya uwanja" ile mechi ya kwanza na Wasudani kuna namna walifeli.

Simba asipoingia robo fainali mwaka huu, wakulaumiwa ni yule mgawa utamu wao wa Tunisia jina lake "Faxen" maana yeye kila anaepita mbele yake yeye ni kupanua tu hata kama huna kinga wee weka tu.

Yangu ni hayo, tukutane 19/01/2025 saa 22:00.
 
Muda Wa Kuchekana tayari bro...

Utopolo haendi kokote...!

Inaitwa hata Ukioga mjini huendi..!

Au hata ukinawa kula ni kwa Macho tu...
 
All of them will pass to another stage.
 
Simba anaenda Robo fainali akiwa na points 13 Yanga anaishia points 8 . Atamfunga MC ALGERS goli 2-1 Lupaso na atatoka Sare na Al Hilal
 
Screenshot_20250106-120608_1.jpg
 
Simba hata wasipoingia robo hakuna shida. Tatizo litakuja Yanga asipokwenda robo, wataficha wapi sura zao? Maana walikejeli sana Simba kuishia robo misimu kadhaa
 
Back
Top Bottom