Patandi
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 420
- 397
Naamini kama atapatikana na hatia Rais kwa kutumia mamlaka yake atamsamehe. Kwa sasa hawezi kutoam msamaha kwa kuwa hajapatikana na hatia atasamehewa kwa lipi.Haki itendeke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini kama atapatikana na hatia Rais kwa kutumia mamlaka yake atamsamehe. Kwa sasa hawezi kutoam msamaha kwa kuwa hajapatikana na hatia atasamehewa kwa lipi.Haki itendeke
hayo ndio matokeo ya yeye kuishi kama njiwa ugaibuni. halafu anashauri iwe hivyo hivyoWatu wenye akili kuendelea kujifanya wajinga siku ipite ndio kumeifanya nchi hii kuwa kama ilivyo mpaka kipindi hiki.
CHADEMA hujui kweli wanachokifanya?Supana zimebana mpaka chama TAWALA waachia mikutano ifanyike, na ikifanyika, unakuwa mwanzo wa wanachama wa CCM kuficha sare zao Kama ilivyokuwa 2015.Mbona mnahangaika sana? Lissu alimiminiwa lundo la risasi, mmefanya nini kudai hiyo haki yake? Diwani Luena amechinjwa, mmedai wapi haki yake? Katibu CDM Kata ya Hananasifu ameuawa, mmedai wapi haki yake? Kamanda Mawazo je? Ben Saanane yu wapi? Akina Halima Mdee si hao wapo bungeni hadi leo?
Mnatunisha msuli as if Jaji Tiganga akiamua kumfunga Mbowe hapatakalika. Novemba 4 mwaka jana Lissu aliwasihi muingie mtaani kudai "ushindi ulioporwa." Nani alitokea?
Ni rahisi kujimwambafai mtandaoni kwa kutumia fake IDs ilhali Mbowe anateseka muda huu. Hiyo mikutano yenu ya spesi inajaa maelfu ya watu, mahakamani mnatokea wangapi?
Your wishes would be fulfilled, haki mnayotaka itendeke itatendeka, halafu mtarudi hapa kulalia "Mama Samia ni Dikteta. "
Mtu mwenye busara hutambua wakati gani wa kutunisha msuli, na wakati gani wa kujifanya mjinga siku ipite.
Huu uchafu wako peleka kwenye dastbin haraka SanaMbona mnahangaika sana? Lissu alimiminiwa lundo la risasi, mmefanya nini kudai hiyo haki yake? Diwani Luena amechinjwa, mmedai wapi haki yake? Katibu CDM Kata ya Hananasifu ameuawa, mmedai wapi haki yake? Kamanda Mawazo je? Ben Saanane yu wapi? Akina Halima Mdee si hao wapo bungeni hadi leo?
Mnatunisha msuli as if Jaji Tiganga akiamua kumfunga Mbowe hapatakalika. Novemba 4 mwaka jana Lissu aliwasihi muingie mtaani kudai "ushindi ulioporwa." Nani alitokea?
Ni rahisi kujimwambafai mtandaoni kwa kutumia fake IDs ilhali Mbowe anateseka muda huu. Hiyo mikutano yenu ya spesi inajaa maelfu ya watu, mahakamani mnatokea wangapi?
Your wishes would be fulfilled, haki mnayotaka itendeke itatendeka, halafu mtarudi hapa kulalia "Mama Samia ni Dikteta. "
Mtu mwenye busara hutambua wakati gani wa kutunisha msuli, na wakati gani wa kujifanya mjinga siku ipite.
Mbona mnahangaika sana? Lissu alimiminiwa lundo la risasi, mmefanya nini kudai hiyo haki yake? Diwani Luena amechinjwa, mmedai wapi haki yake? Katibu CDM Kata ya Hananasifu ameuawa, mmedai wapi haki yake? Kamanda Mawazo je? Ben Saanane yu wapi? Akina Halima Mdee si hao wapo bungeni hadi leo?
Mnatunisha msuli as if Jaji Tiganga akiamua kumfunga Mbowe hapatakalika. Novemba 4 mwaka jana Lissu aliwasihi muingie mtaani kudai "ushindi ulioporwa." Nani alitokea?
Ni rahisi kujimwambafai mtandaoni kwa kutumia fake IDs ilhali Mbowe anateseka muda huu. Hiyo mikutano yenu ya spesi inajaa maelfu ya watu, mahakamani mnatokea wangapi?
Your wishes would be fulfilled, haki mnayotaka itendeke itatendeka, halafu mtarudi hapa kulalia "Mama Samia ni Dikteta. "
Mtu mwenye busara hutambua wakati gani wa kutunisha msuli, na wakati gani wa kujifanya mjinga siku ipite.
Hii ya lini?Juzi katika kikao cha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wadau wa demokrasia iliibuka tafrani kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kuwa Zito alimuombea Msamaha kwa Rais Mheshimiwa Mbowe.
Jambo lile lilipingwa na kila mtu mwenye akili timamu kwa sababu kwa katiba yetu Rais hana mamlaka ya kumsamehe mtuhumiwa ambae kesi yake inaendelea Mahakamani.
Viongozi mbalimbali wa Chadema kama vile Mheshimiwa Tindu Lisu pia walipinga msamaha ule kwa kile nilichoeleza hapo juu kwamba kwa mujibu wa katiba yetu Rais hana mamlaka ya kumsamehe mtuhumiwa ambae kesi yake inaendelea mahakamani.
Kuna kundi dogo la watu wenye akili fupi hasa kutoka CCM ambao waliunga mkono wazo la kusamehewa Mheshimiwa Freeman Mbowe bila ya kuangalia katiba yetu inasemaje.
Sasa leo nimewaletea video fupi ya Mheshimiwa Freeman Mbowe ambapo katika video hiyo anatoa msimamo wake juu ya masuala hayo.
Ukiangalia video hii utagundua ni nani yupo sahihi kati ya Zito aliekuwa anamuombea msamaha mheshimiwa freeman Mbowe,kikundi cha wale watu waliounga mkono wazo lile na watu ambao walipinga suala la kuombewa msamaha Mheshimiwa Freeman Mbowe kama vile Lissu na wanachama wa chadema.
Karibuni kuangalia video hii ili mpate kujua msimamo wa Mheshimiwa Freeman Mbowe kutoka kwake yeye mwenyewe.
View attachment 2047607
Mwongo sana wewe..!!Evarist Chahali hawa watu hawabebeki na sababu kubwa ni structure ya chama chao. Vyama vingine vina mabaraza ya wazee ambao ndiyo wanakuwa consulted kukiwa na sintofahamu kama hizi.
Bahati mbaya Mbowe ndiyo CHADEMA na CHADEMA ndiyo Mbowe. Kwa utawala wake miaka 23 yeye ni kama sultani, hakuna wa kumshauri wala kuamua.
Hizi siasa za kinafiki ili siku ipite zinafanywa tayari na Zitto na wewe Chahali na Kigogo viumbe wenye busara, Inatosha.Mtu mwenye busara hutambua wakati gani wa kutunisha msuli, na wakati gani wa kujifanya mjinga siku ipite.
Maccm kila wakisikia jina la Mbowe, wanashtuka sanaaa. Wanajihisi kama vile wamefikwa na umautiMbowe bwana
Hilo la mwisho, nakubaliana na wewe. Mengine yabaki kuwa mtazamo na maoni yako, nayaheshimu sana...Mbona mnahangaika sana? Lissu alimiminiwa lundo la risasi, mmefanya nini kudai hiyo haki yake? Diwani Luena amechinjwa, mmedai wapi haki yake? Katibu CDM Kata ya Hananasifu ameuawa, mmedai wapi haki yake? Kamanda Mawazo je? Ben Saanane yu wapi? Akina Halima Mdee si hao wapo bungeni hadi leo?
Mnatunisha msuli as if Jaji Tiganga akiamua kumfunga Mbowe hapatakalika. Novemba 4 mwaka jana Lissu aliwasihi muingie mtaani kudai "ushindi ulioporwa." Nani alitokea?
Ni rahisi kujimwambafai mtandaoni kwa kutumia fake IDs ilhali Mbowe anateseka muda huu. Hiyo mikutano yenu ya spesi inajaa maelfu ya watu, mahakamani mnatokea wangapi?
Your wishes would be fulfilled, haki mnayotaka itendeke itatendeka, halafu mtarudi hapa kulalia "Mama Samia ni Dikteta. "
Mtu mwenye busara hutambua wakati gani wa kutunisha msuli, na wakati gani wa kujifanya mjinga siku ipite.
Hapa upo sawa nae wewe upo Nchi za watu nini shida njoo tuumane huku.Mbona mnahangaika sana? Lissu alimiminiwa lundo la risasi, mmefanya nini kudai hiyo haki yake? Diwani Luena amechinjwa, mmedai wapi haki yake? Katibu CDM Kata ya Hananasifu ameuawa, mmedai wapi haki yake? Kamanda Mawazo je? Ben Saanane yu wapi? Akina Halima Mdee si hao wapo bungeni hadi leo?
Mnatunisha msuli as if Jaji Tiganga akiamua kumfunga Mbowe hapatakalika. Novemba 4 mwaka jana Lissu aliwasihi muingie mtaani kudai "ushindi ulioporwa." Nani alitokea?
Ni rahisi kujimwambafai mtandaoni kwa kutumia fake IDs ilhali Mbowe anateseka muda huu. Hiyo mikutano yenu ya spesi inajaa maelfu ya watu, mahakamani mnatokea wangapi?
Your wishes would be fulfilled, haki mnayotaka itendeke itatendeka, halafu mtarudi hapa kulalia "Mama Samia ni Dikteta. "
Mtu mwenye busara hutambua wakati gani wa kutunisha msuli, na wakati gani wa kujifanya mjinga siku ipite.
Unataka chama kibebeke ili ukipeleke wapi? 😂😂😂Evarist Chahali hawa watu hawabebeki na sababu kubwa ni structure ya chama chao. Vyama vingine vina mabaraza ya wazee ambao ndiyo wanakuwa consulted kukiwa na sintofahamu kama hizi.
Bahati mbaya Mbowe ndiyo CHADEMA na CHADEMA ndiyo Mbowe. Kwa utawala wake miaka 23 yeye ni kama sultani, hakuna wa kumshauri wala kuamua.
Mnafiki mkubwa wewe!Mbona mnahangaika sana? Lissu alimiminiwa lundo la risasi, mmefanya nini kudai hiyo haki yake? Diwani Luena amechinjwa, mmedai wapi haki yake? Katibu CDM Kata ya Hananasifu ameuawa, mmedai wapi haki yake? Kamanda Mawazo je? Ben Saanane yu wapi? Akina Halima Mdee si hao wapo bungeni hadi leo?
Mnatunisha msuli as if Jaji Tiganga akiamua kumfunga Mbowe hapatakalika. Novemba 4 mwaka jana Lissu aliwasihi muingie mtaani kudai "ushindi ulioporwa." Nani alitokea?
Ni rahisi kujimwambafai mtandaoni kwa kutumia fake IDs ilhali Mbowe anateseka muda huu. Hiyo mikutano yenu ya spesi inajaa maelfu ya watu, mahakamani mnatokea wangapi?
Your wishes would be fulfilled, haki mnayotaka itendeke itatendeka, halafu mtarudi hapa kulalia "Mama Samia ni Dikteta. "
Mtu mwenye busara hutambua wakati gani wa kutunisha msuli, na wakati gani wa kujifanya mjinga siku ipite.
Akitolewa na nani?Akitolewa atulie sasa aache kumfanyia jeuri mama. Na ashirikianenaye kwenye swala la katiba ipitishwe.
Ushauri huu kampe sabaya ila Kwa Mbowe ni kelele TU kwake so usimpigie kelele zako hizi!Akitolewa atulie sasa aache kumfanyia jeuri mama. Na ashirikianenaye kwenye swala la katiba ipitishwe.
Chahali, Ile mshiko wako uliokuwa unamdai mwendazake Kwa kumkampenia wamekulipa? Kama Bado unapata wapi nguvu za kukipenda chama hicho? Hiyo busara unayoishauri cdm waitumie imekushinda wewe kuitumia kurudi kwenu morogoro baada ya mtesi wako kutwaliwa? Itumie wewe Kama njia ya kurejea nyumbani!Mbona mnahangaika sana? Lissu alimiminiwa lundo la risasi, mmefanya nini kudai hiyo haki yake? Diwani Luena amechinjwa, mmedai wapi haki yake? Katibu CDM Kata ya Hananasifu ameuawa, mmedai wapi haki yake? Kamanda Mawazo je? Ben Saanane yu wapi? Akina Halima Mdee si hao wapo bungeni hadi leo?
Mnatunisha msuli as if Jaji Tiganga akiamua kumfunga Mbowe hapatakalika. Novemba 4 mwaka jana Lissu aliwasihi muingie mtaani kudai "ushindi ulioporwa." Nani alitokea?
Ni rahisi kujimwambafai mtandaoni kwa kutumia fake IDs ilhali Mbowe anateseka muda huu. Hiyo mikutano yenu ya spesi inajaa maelfu ya watu, mahakamani mnatokea wangapi?
Your wishes would be fulfilled, haki mnayotaka itendeke itatendeka, halafu mtarudi hapa kulalia "Mama Samia ni Dikteta. "
Mtu mwenye busara hutambua wakati gani wa kutunisha msuli, na wakati gani wa kujifanya mjinga siku ipite.
Mama samia bint suluhu bin hassanAkitolewa na nani?