Msimamo wa Mheshimiwa Freeman Mbowe kuhusiana na mambo ya kusamehewa na Rais

Watu wenye akili kuendelea kujifanya wajinga siku ipite ndio kumeifanya nchi hii kuwa kama ilivyo mpaka kipindi hiki.
hayo ndio matokeo ya yeye kuishi kama njiwa ugaibuni. halafu anashauri iwe hivyo hivyo
 
CHADEMA hujui kweli wanachokifanya?Supana zimebana mpaka chama TAWALA waachia mikutano ifanyike, na ikifanyika, unakuwa mwanzo wa wanachama wa CCM kuficha sare zao Kama ilivyokuwa 2015.
 
Huu uchafu wako peleka kwenye dastbin haraka Sana
 


Wako indoctrinated ...
In denial bado....
 
Hii ya lini?

Umeichukua akiwa selo kule gerezani?

Huko gerezani inaruhusiwa mtu ambaye yuko under detention kutuma ujumbe wa video huku nje...?
 
Mwongo sana wewe..!!

Ni wazi unaijua au kuitambua CHADEMA kwa kuisikia...
 
Mtu mwenye busara hutambua wakati gani wa kutunisha msuli, na wakati gani wa kujifanya mjinga siku ipite.
Hizi siasa za kinafiki ili siku ipite zinafanywa tayari na Zitto na wewe Chahali na Kigogo viumbe wenye busara, Inatosha.
Chadema inawawasha saaana.. hivi kwani nini?!
 
Hilo la mwisho, nakubaliana na wewe. Mengine yabaki kuwa mtazamo na maoni yako, nayaheshimu sana...

Lakini CHADEMA iko maili nyingi zaidi ya ushauri wako ktk paragraph ya mwishoni...

Na nikuulize swali maana wewe na huyu ndugu Stuxnet ni kama hamuijui CHADEMA na kwamba inaongozwa na watu wajinga sana wasiojua uongozi na pengine mkipewa nyie you can do more miracles than these already existed...

Huku nyie mkiwa na fikra hizo za kuiona CHADEMA si lolote, si chochote wenzenu chama chenye dola - CCM wakiiona CHADEMA the biggest threat of their entire political life since 1995 tulipokuwa na uchaguzi wa kwanza Wa vyama vingi. Usiku na mchana sana haha wafanyeje kuidhibiti mpaka wanaanza kutumia njia za kijambazi na mauaji na kutwngeΓ±eza kesi feki zisizo na dhamana mahamakani..

Na kwa hofu hii, CCM kwa sababu tu wanΓ  serikali mikononi mwao wanatumia kila njia OVU na HILA za kidola kukidhooficha chama hiki na ikibidi hata kukitoa katika picha (usajili)....

LAKINI ni takribani miaka 15 sasa majaribio yao ya kukidhoofisha yameshindwa spectacularly huku kikiendelea kuvutia maelfu ya watu wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume kujiunga na wengine kuwa wafuasi na mashabiki tu...

Ona sasa hivi M/kiti Wa chama taifa akiwa gerezani kwa kesi hatari ya kubumba, strategists wa chama wako field wakiandisha wanachama ktk mfumo wa ki - electronic maarufu kama CHADEMA DIGITAL...

Sasa wewe Stuxnet hiyo hoja ya CHADEMA ni Mbowe na Mbowe ni CHADEMA inasimamia miguu gani eti? That's huko nyuma nimekuambia hata huijui CHADEMA wewe..!

Najaribu kujiuliza mtu kama Stuxnet sijui hata anapata wapi guts za kusema chama hiki hakina wazee washauri na wana mikakati (strategists) ndani ya chama...

Hebu tuacheni mabezo ya namna hii jamani. Tuwape credits CHADEMA kwa sababu walishavuka viwango vya NCCR - Mageuzi ya kina Marando na Augustino Lyatonga Mrema ya (1995 - 2000) au CUF (2000 - 2015) ya Prof. Lipimba, hΓ yati Maalim Seif Sharif Hamadi na Hamad Rashidi...

For sure, CHADEMA hii kama chama cha siasa ina nguvu kuliko hata CCM bila kujali madhila kinachopitia. Sasa itakuwa ni mjinga pekee kubeza nguvu ya chama hiki hata kudai kina uongozi dhaifu.....!

Chama cha siasa chenye uongozi dhaifu au kisichokuwa na wazee washauri wazuri au kisichokuwa na Leadeship Organizational Structure nzuri huwa hakikui na hujifia chenyewe taratibu lakini sio CHADEMA hii. Hopefully, nduguStuxnet utakuwa umenielewa...
 
Hapa upo sawa nae wewe upo Nchi za watu nini shida njoo tuumane huku.
 
Akitolewa atulie sasa aache kumfanyia jeuri mama. Na ashirikianenaye kwenye swala la katiba ipitishwe.
 
Unataka chama kibebeke ili ukipeleke wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mnafiki mkubwa wewe!
 
Infact siasa za nchi hii zinataka vichwa kama TL, CCM ukicompromise nao leo unatakiwa kucompromise nao milele. Ndio wanakugeuza NCCR ya enzi hizi, CUF, na vyama rafiki wa CCM.

CCM mmepaniki sana kwanini? Mlichoanticipate hakijawa? Haki itendeke kwa Mwenyekiti CDM hawahitaji huruma za kinafiki!
 
Akitolewa atulie sasa aache kumfanyia jeuri mama. Na ashirikianenaye kwenye swala la katiba ipitishwe.
Ushauri huu kampe sabaya ila Kwa Mbowe ni kelele TU kwake so usimpigie kelele zako hizi!
Au fanya hivi, kampe ushauri bi mkubwa awatimue wote walioorganise ujinga huo ambao unamchafua yeye badala ya kumng'arisha!
 
Chahali, Ile mshiko wako uliokuwa unamdai mwendazake Kwa kumkampenia wamekulipa? Kama Bado unapata wapi nguvu za kukipenda chama hicho? Hiyo busara unayoishauri cdm waitumie imekushinda wewe kuitumia kurudi kwenu morogoro baada ya mtesi wako kutwaliwa? Itumie wewe Kama njia ya kurejea nyumbani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…