Kwenye rekodi za Olimpiki, medali yoyote kati ya zile tatu huipa nchi pointi na heshima yake...Wengi wanazingatia zaid medal ya dhahabu
Na kwa nin namba moja kawekwa China mwenye medal nying za dhahabu ingawaje kiujumla wa medal anaongoza us kawekwa namb mbilKwenye rekodi za Olimpiki, medali yoyote kati ya zile tatu huipa nchi pointi na heshima yake...
Mfano jana, kuna bwana mdogo kutoka Burkina Faso amekuwa mtu wa kwanza toka Afrika kushinda medali ya Olimpiki kwenye mchezo wa kuruka umbali mrefu "long jump"...
Pamoja na kwamba alishinda medali ya shaba, lakini historia imeshaanza mtambua kama nilivyoandika juu hapo...
Mungu ajaalie warud salama hali ni tete kiafya hukoTanzania asanteni kwa kuongeza idadi ya watu Olympic
Inazingatiwa dhahabu kwanza .Na kwa nin namba moja kawekwa China mwenye medal nying za dhahabu ingawaje kiujumla wa medal anaongoza us kawekwa namb mbil
Uganda ipoAfrika masharik naiona Kenya tu
Medalya dhahabu ina points nyingiNa kwa nin namba moja kawekwa China mwenye medal nying za dhahabu ingawaje kiujumla wa medal anaongoza us kawekwa namb mbil
Na hicho ndicho nilichomweleza watu8Inazingatiwa dhahabu kwanza .
Inamaana gani hii mdauBig Brother Bongo (BBB)
Soma tenaInamaana gani hii mdau
Ndio taifa lililobarikiwaMarekani ni watu wa-bad sana, kila sekta wao huongoza, Ni taifa la namna gani aisee?!
Ila wenzetu wako serious, mpaka muda huu cjaskia cases yoyote kutoka OlympicsMungu ajaalie warud salama hali ni tete kiafya huko
Nimeshasoma tena mnama haya nijuze unamaanisha ninSoma tena
Labda hujafatilia lkn Tokyo maambukiz yameongezekaIla wenzetu wako serious, mpaka muda huu cjaskia cases yoyote kutoka Olympics
Daah bc noma sanaLabda hujafatilia lkn Tokyo maambukiz yameongezeka