Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
- Thread starter
- #41
Unamkumbuka Kidunda mpiganaj boksa kila olimpik huwa anatuwakilisha na hii ameenda au hajaenda???Daah bc noma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamkumbuka Kidunda mpiganaj boksa kila olimpik huwa anatuwakilisha na hii ameenda au hajaenda???Daah bc noma sana
Aah cjamfatilia huyo, yn hata hao Wabongo watatu walienda huko hata cwajui vzrUnamkumbuka Kidunda mpiganaj boksa kila olimpik huwa anatuwakilisha na hii ameenda au hajaenda???
Why Russia wanajita RoC?
Russian Olympic Committee (ROC). Hawa walifanya massive doping campaign kwenye Olympics za Sochi wakafikia kuchukua medani nyingi na kuacha mshindi wa pili kwa margin kubwa sana.Why Russia wanajita RoC?
Pale Olympics wanatumia English, Russia hawawezi tumia cyrillic letters kufanya representation. Kama hivo Mchina angekuja na vile vitofali vyake na Mhindi akaja na minyoo. Kwanza bendera ya Russia haipo kwenye Olympics mpaka ban iishe, hizi medani hawahesabiwi Russia bali ROC. Hata wimbo wao wa taifa haukupigwa.huo ni ufupisho tu kwa lugha yao .
РОССИЯ =РОС
Marekani ni pool ya vipaji, pale utakuta hata 30% ya washiriki sio wazawa. Arnold Schwarzenegger kazaliwa na kukulia Austria ila kawa gavana wa jimbo kubwa kiuchumi Marekani. Ile nchi ishajielewa hata sisi tunatamani kuishi kuleMarekani ni watu wa-bad sana, kila sekta wao huongoza, Ni taifa la namna gani aisee?!
ROC= Rússia Olympic Commitehuo ni ufupisho tu kwa lugha yao .
РОССИЯ =РОС
Na kwa nin namba moja kawekwa China mwenye medal nying za dhahabu ingawaje kiujumla wa medal anaongoza us kawekwa namb mbil
Na hicho ndicho nilichomweleza watu8
Sio mbaya angalau wameplan b na imefanikiwaRussian Olympic Committee (ROC). Hawa walifanya massive doping campaign kwenye Olympics za Sochi wakafikia kuchukua medani nyingi na kuacha mshindi wa pili kwa margin kubwa sana.
Maaabara ya vipimo vya wachezaji wao walijenga jengo lefu pembeni yake michezo ya intelligency agency yao FSB wakatoboa ukuta, usiku wanaingia wanatoa original sample za wachezaji wao wanareplace na damu na mkojo usio na viongeza nguvu. Walichokosea ni kushindana medani nyingi sana, nchi ambayo previously haikuwa hata top 3 mara ghafla inapata medani nyingi kuliko mshindi wa 2 na wa 3 combined. World Anti Doping Agency ikawawekea vikwazo
SawaGold first ranking ni mfumo wa rankings unafanywa tu na media outlets wanauita modern days rankings, sio utaratibu wa IOC...
Kuna media za nchi nyingine wanafanya rankings kwa kujumlisha idadi ya medali zote nchi ilizopata...
"I believe each country will highlight what suits it best. One country will say, 'Gold medals.' The other country will say, 'The total tally counts.' We take no position on that."
IOC President Jacques Rogge
Baadh ya wawakilish wa nchi za kiarabu ni wamatumbi fuluMarekani ni pool ya vipaji, pale utakuta hata 30% ya washiriki sio wazawa. Arnold Schwarzenegger kazaliwa na kukulia Austria ila kawa gavana wa jimbo kubwa kiuchumi Marekani. Ile nchi ishajielewa hata sisi tunatamani kuishi kule
Tuna wanariadha wawili, watashiriki marathon kesho...Hiv Tanzania kama nchi tunafeli wapi jaman?
Naona Kenya na Uganda tu wanashine
Kesho saa ngapi?I cant wait to see them but as country mbona hatujapeleka wengi hata 10?Tuna wanariadha wawili, watashiriki marathon kesho...
Mmojawapo ni Simbu
Ngoja nifuatilie muda, maana wamerudisha nyuma kwa saa 1 sababu ya joto kuwa kali TokyoKesho saa ngapi?I cant wait to see them but as country mbona hatujapeleka wengi hata 10?