Msimamo wa Olimpik mpaka mchana wa leo

Msimamo wa Olimpik mpaka mchana wa leo

Why Russia wanajita RoC?

Russia wamefungia kushiriki kutokana na sakata la wanamichezo wao kutuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya na serikali ikagoma kutoa ushirikiano, ila waliruhusiwa wanamichezo kushiriki kama watu binafsi na si kubeba bendera ya taifa ndio wakaingilia kupitia hiyo Russia olumpic committee (ROC)
 
Why Russia wanajita RoC?
Russian Olympic Committee (ROC). Hawa walifanya massive doping campaign kwenye Olympics za Sochi wakafikia kuchukua medani nyingi na kuacha mshindi wa pili kwa margin kubwa sana.

Maaabara ya vipimo vya wachezaji wao walijenga jengo refu pembeni yake michezo ya intelligency agency yao FSB wakatoboa ukuta, usiku wanaingia wanatoa original sample za wachezaji wao wanareplace na damu na mkojo usio na viongeza nguvu. Walichokosea ni kushindana medani nyingi sana, nchi ambayo previously haikuwa hata top 3 mara ghafla inapata medani nyingi kuliko mshindi wa 2 na wa 3 combined. World Anti Doping Agency ikawawekea vikwazo
 
huo ni ufupisho tu kwa lugha yao .
РОССИЯ =РОС
Pale Olympics wanatumia English, Russia hawawezi tumia cyrillic letters kufanya representation. Kama hivo Mchina angekuja na vile vitofali vyake na Mhindi akaja na minyoo. Kwanza bendera ya Russia haipo kwenye Olympics mpaka ban iishe, hizi medani hawahesabiwi Russia bali ROC. Hata wimbo wao wa taifa haukupigwa.

Ingekuwa nchi nyingine isiyo na ugomvi sidhani kama hata wangeonekana kabisa. Makosa yao ni makubwa ila kama kawaida yao huyageuza kwa propaganda za kitaifa: sio sisi, mbona wale nao walifanya vile, tunaonewa, Western influence.
 
Marekani ni watu wa-bad sana, kila sekta wao huongoza, Ni taifa la namna gani aisee?!
Marekani ni pool ya vipaji, pale utakuta hata 30% ya washiriki sio wazawa. Arnold Schwarzenegger kazaliwa na kukulia Austria ila kawa gavana wa jimbo kubwa kiuchumi Marekani. Ile nchi ishajielewa hata sisi tunatamani kuishi kule
 
Na kwa nin namba moja kawekwa China mwenye medal nying za dhahabu ingawaje kiujumla wa medal anaongoza us kawekwa namb mbil

Gold first ranking ni mfumo wa rankings unafanywa tu na media outlets wanauita modern days rankings, sio utaratibu wa IOC...

Kuna media za nchi nyingine wanafanya rankings kwa kujumlisha idadi ya medali zote nchi ilizopata...

"I believe each country will highlight what suits it best. One country will say, 'Gold medals.' The other country will say, 'The total tally counts.' We take no position on that."
IOC President Jacques Rogge
 
Russian Olympic Committee (ROC). Hawa walifanya massive doping campaign kwenye Olympics za Sochi wakafikia kuchukua medani nyingi na kuacha mshindi wa pili kwa margin kubwa sana.

Maaabara ya vipimo vya wachezaji wao walijenga jengo lefu pembeni yake michezo ya intelligency agency yao FSB wakatoboa ukuta, usiku wanaingia wanatoa original sample za wachezaji wao wanareplace na damu na mkojo usio na viongeza nguvu. Walichokosea ni kushindana medani nyingi sana, nchi ambayo previously haikuwa hata top 3 mara ghafla inapata medani nyingi kuliko mshindi wa 2 na wa 3 combined. World Anti Doping Agency ikawawekea vikwazo
Sio mbaya angalau wameplan b na imefanikiwa
 
Gold first ranking ni mfumo wa rankings unafanywa tu na media outlets wanauita modern days rankings, sio utaratibu wa IOC...

Kuna media za nchi nyingine wanafanya rankings kwa kujumlisha idadi ya medali zote nchi ilizopata...

"I believe each country will highlight what suits it best. One country will say, 'Gold medals.' The other country will say, 'The total tally counts.' We take no position on that."
IOC President Jacques Rogge
Sawa
 
Marekani ni pool ya vipaji, pale utakuta hata 30% ya washiriki sio wazawa. Arnold Schwarzenegger kazaliwa na kukulia Austria ila kawa gavana wa jimbo kubwa kiuchumi Marekani. Ile nchi ishajielewa hata sisi tunatamani kuishi kule
Baadh ya wawakilish wa nchi za kiarabu ni wamatumbi fulu
 
Jedwali la Leo asubuh
Screenshot_20210806-114626.jpg
 
Another Gold for Uganda, Cheptegei wins 5000m
 
Hiv Tanzania kama nchi tunafeli wapi jaman?
Naona Kenya na Uganda tu wanashine
 
Hiv Tanzania kama nchi tunafeli wapi jaman?
Naona Kenya na Uganda tu wanashine
Tuna wanariadha wawili, watashiriki marathon kesho...

Mmojawapo ni Simbu
 
Sifan Hassan vs Kipyegon...moto utawaka hapa kwenye 1500m women
 
Kesho saa ngapi?I cant wait to see them but as country mbona hatujapeleka wengi hata 10?
Ngoja nifuatilie muda, maana wamerudisha nyuma kwa saa 1 sababu ya joto kuwa kali Tokyo
 
Back
Top Bottom