Msimamo wa Simba uliyotolewa leo kuhusu point 3 dhidi ya Kagera Sugar

Hivi Hawa mikia wameo nye seeha video ya af lion wakati huyo mchezaji akipewa kadi? Kama jibu ni ndiyo basi Wana kila sababu ya kudai hizo pointi 3. Kama jibu ni hapana kwanza wapigwe faini kwa usumbufu
Vipi hapa umeongea kinyagwata nn mbona sijakuelewa msaada please WA kutafsiri
 
Acha upumbavu we dogo, Kamati haijatoa uamuzi we unataka kuwa-preempt. INAELEKEA DAR JUA KALI LINAKUSUMBUA.
 
Huyu nkya kwenye mechi za simba ukimtazama vzr kama wewe una taaluma ya uamuzi utagundua kuna maelekezo mengine huwa anatimiza
NB . kama una taaluma ya uamuzi
 
Huyu Bw. Mdogo hajielewi anazungumza nini. Upeo wake ni mdogo wa kuainisha mambo.

Anahitaji nasaha ya kisaikolijia.
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…