pashamwendo
Member
- Mar 11, 2017
- 88
- 40
Vipi hapa umeongea kinyagwata nn mbona sijakuelewa msaada please WA kutafsiriHivi Hawa mikia wameo nye seeha video ya af lion wakati huyo mchezaji akipewa kadi? Kama jibu ni ndiyo basi Wana kila sababu ya kudai hizo pointi 3. Kama jibu ni hapana kwanza wapigwe faini kwa usumbufu