Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
TakbiirIran na Israel wanachukiana kwa sababu ya utofauti wa kidini.Tanzania tuna dini zote mbili ,uislam(Iran) na ukristo(Israel).
Sasa tuwe na msimamo upi?
Acha kukuza mamboWao Israel na Iran wana msimamo gani kwa uvunjifu wa haki za binadamu unaoendelea Tz?
Waziri mwenye dhahama atoe msimamo wa Tanzania kwa uonevu unaendelea huko Iran-Israel.
Ikibidi tutume ujumbe tukasuluhishe.
Wabillah Taufiq
Israel wakristo ni minority. Kwa kifupi waislam ni wengi kuliko wakristo huko israel. Israel ni jewsIran na Israel wanachukiana kwa sababu ya utofauti wa kidini.Tanzania tuna dini zote mbili ,uislam(Iran) na ukristo(Israel).
Sasa tuwe na msimamo upi?
Israel ni wakristo?Iran na Israel wanachukiana kwa sababu ya utofauti wa kidini.Tanzania tuna dini zote mbili ,uislam(Iran) na ukristo(Israel).
Sasa tuwe na msimamo upi?
Tanzania hakuna waziri mwenye DHAHAMA.Waziri mwenye dhahama atoe msimamo wa Tanzania kwa uonevu unaendelea huko Iran-Israel.
Ikibidi tutume Timu ya wasuluhishi 300 (Zanzibar 150, Tanganyika 150) waende huko kwa siku 30. Ni muhimu wawezeshwe kifedha pia wapewe ndege moja ya ATC.
Wabillah Taufiq
Nani kakwambia Israel ni wakristo?Iran na Israel wanachukiana kwa sababu ya utofauti wa kidini.Tanzania tuna dini zote mbili ,uislam(Iran) na ukristo(Israel).
Sasa tuwe na msimamo upi?
Navyoamini mimi waisrael ni wakristo. Unaweza kunirekebisha?Nani kakwambia Israel ni wakristo?