Msimamo wa Tanzania kwa kinachoendelea Iran-Israel

Walipouwawa wanachuo wawili wakintanzania Mollel na mtenga na magaidi wa Hamas mchana kweupe wakiwa hawana silaha, hakuna aliyetoa msimamo wowote.
 
Inategemea na upande wa CCM Ila wakijichanganya wakawasaidia Iran, Israel itaiokoa Tanzania kutoka kwa CCM
 
Israel imetambua kilichomtoa kanga manyoya !!! Wananyukwa !!!
Sahau taifa lililoteuliwa Hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…